Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Ndiyo best manager eFootball 2025, ila huyu mzee nitamtumia siku zote.Kumbe Gasperini ashatokaðŸ˜
Ndiyo best manager eFootball 2025, ila huyu mzee nitamtumia siku zote.Kumbe Gasperini ashatokaðŸ˜
Denzila chawa tu yule ila jamaa anajua kumtumia Son blitz curler, wauza vikosi mahiri ni Mr Balle na Silvesta 😂Wanataka denzila ale wapi?
Hapa nilikuwa nakusanya coin nimchukue Account yangu ya pili nakuta ashatolewa kumbe imeniuma kinoma😃😃Ndiyo best manager eFootball 2025, ila huyu mzee nitamtumia siku zote.
Mr Balle anaombaga mara moja moja.... Ana hiyo message yake mzee sema nimeikosa... Anasema hakikisha umekula umeshiba, unatumia Voda, unajua game na mambo mengi kwel alafu anakuja kusema leta code😂😂🙌Denzila chawa tu yule ila jamaa anajua kumtumia Son blitz curler, wauza vikosi mahiri ni Mr Balle na Silvesta 😂
Hao jamaa sijawahi ona wakiomba hata code za friend match 😂
Pole sana, ni vizuri hujampata maana haiwezekani tutumie kocha 1 😂Hapa nilikuwa nakusanya coin nimchukue Account yangu ya pili nakuta ashatolewa kumbe imeniuma kinoma😃😃
Jau sana 😂Mr Balle anaombaga mara moja moja.... Ana hiyo message yake mzee sema nimeikosa... Anasema hakikisha umekula umeshiba, unatumia Voda, unajua game na mambo mengi kwel alafu anakuja kusema leta code😂😂🙌View attachment 3368568
Yule mzee nilikiwa namtamani mno, sema sikuizi jau coins hazikai nachezea kila sikuHapa nilikuwa nakusanya coin nimchukue Account yangu ya pili nakuta ashatolewa kumbe imeniuma kinoma😃😃
Kuna mmoja huyu wa Italy ananifaaa🤣🤣🤣 booster zake ni kwa ajili ya defender 🤣🤣Pole sana, ni vizuri hujampata maana haiwezekani tutumie kocha 1 😂
Anazingua kinoma😂😂Jau sana 😂
Me ameniuma kinoma yan ila sio mbaya atakuja mzuri mwingine😃Yule mzee nilikiwa namtamani mno, sema sikuizi jau coins hazikai nachezea kila siku
Oya hivi ukitaka kutengeneza acciunt ya japan unafanyaje?Kuna mmoja huyu wa Italy ananifaaa🤣🤣🤣 booster zake ni kwa ajili ya defender 🤣🤣
Kaza kaka kaza uende division one tena😃😃View attachment 3368596
Division pamenoga sikuizi sitaki friendly games 😂😂🔥
Unapofungua account nyingine pale kwenye kuselect region unaweka JapanOya hivi ukitaka kutengeneza acciunt ya japan unafanyaje?
Quick counter na LBC ngoja tusubirie hiyo offa tena. Ila itachukua muda mana saivi naona wamefocus kwenye makocha wenye double booster 89Me ameniuma kinoma yan ila sio mbaya atakuja mzuri mwingine😃
Anhaa ila hii si unaweza badirisha huko mbele, inahitaji VPN?Unapofungua account nyingine pale kwenye kuselect region unaweka Japan
Ngoja tungojee tena😃wakiwaki kinoma sema akija mwenye LBC 89 namchukuaQuick counter na LBC ngoja tusubirie hiyo offa tena. Ila itachukua muda mana saivi naona wamefocus kwenye makocha wenye double booster 89
Hapana kubadilisha hauwezi ndo moja kwa moja hiyo...Anhaa ila hii si unaweza badirisha huko mbele, inahitaji VPN?
Division 1 nafika ila nataka niwe na rank nzuri mwisho wa phaseKaza kaka kaza uende division one tena😃😃
Haujabadilisha mfumo? 😄Ngoja tungojee tena😃wakiwaki kinoma sema akija mwenye LBC 89 namchukua
Nataka nihamie LBC mazima