Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Bado sijaishika vizuri kwa sasa ila naendelea vizuri.Sijawai cheza LBC hii ni ya Razorblade, Edo kissy na Negan
Bado sijaishika vizuri kwa sasa ila naendelea vizuri.Sijawai cheza LBC hii ni ya Razorblade, Edo kissy na Negan
Kuna zile individual instructions kama attack, anchoring ni balaa kwa hii formation....maana unaset partnership ya washambuliaji wawe wanangoja hudumaBado sijaishika vizuri kwa sasa ila naendelea vizuri.
Wakileta kocha wa double booster wa LBC napita naeBado sijaishika vizuri kwa sasa ila naendelea vizuri.
Kama unaweza kuitumia fresh binafsi siitumii counter targetKuna zile individual instructions kama attack, anchoring ni balaa kwa hii formation....maana unaset partnership ya washambuliaji wawe wanangoja huduma
Kaka mm natumia zinaset vzuri mashambulizi.....Kama unaweza kuitumia fresh binafsi siitumii counter target
Mie hao makocha wamenikalia kushoto aisee.Wakileta kocha wa double booster wa LBC napita nae
Walioleta saiv jauMie hao makocha wamenikalia kushoto aisee.
Kama inakusaidia freshKaka mm natumia zinaset vzuri mashambulizi.....
Hata wasingekuwa jau ila binafsi siwezi tumia kocha mwenye playstyle 1 aisee maana kuna kuzidiwa halafu huna mbadala.Walioleta saiv jau
Kumbe Gasperini ashatoka😭Hata wasingekuwa jau ila binafsi siwezi tumia kocha mwenye playstyle 1 aisee maana kuna kuzidiwa halafu huna mbadala.
Eeh wametangaza hakuna kuuza vikosi 😂😂Daaa, konami wanalijua hili
Bora hata Denzila Kuna Yule Mr Balle mzee😂😂🙌Wanataka denzila ale wapi?
Hii ni Ajira kama Ajira nyingine 😂😂😂Watakuwa wanawashukuru konami kila siku.