Naingia online😃😃Nani yupo tuguse moja chap chap kabla atujaenda kuteseka
SawqNaingia online😃😃
Wakati huo na mimi nasoma kuwatoka full beki wako anaye press winga zangu kwa kasi😀Itabid niisome vizuri hii Anti Counter 😃😃
Kuna makosa fulani nimeshindwa kurekebisha😃 kwa winger wako kuna mipira nashindwa kukaba ngoja nitafute solution maana itakuja kuniua ile😃😃😃Wakati huo na mimi nasoma kuwatoka full beki wako anaye press winga zangu kwa kasi😀
NEGAN kumbe umeludisha Id yako mkuu 😃Mkuu we ni noma unanikumbushq enzi zangu. Ukiona unaweza toa "The match has been abandoned" jua ushakua master". " You have been awarded a WIN since your opponent has conceded the match".
Hapo mtu kala mkono first half.
Huyu Sergio Busquet umempeleka wap mkuu😃Nilitaka nishangae humu ndani unakosenaje uzi wa efootball, hatimae nimekuwa mwanachama mpya wa hili game.
View attachment 3181116
Najenga team ya ushindani.
Kandambili1 pitia hii kwa Caicedo huko kwa mbappe achana napo utapewa na konamiUshauri wangu kwenye kikosi chako
Nunua mbappe standard card kwa GP awe CF wako huyo Kvara sio CF lakini pia nunua Tchouameni au Rodri wawe CDM wako wote ni anchorman. Huyo Caicedo ni box to box hafai kuwa CDM
Ongea na Maxence Melo Aziunganishe iwe moja mtumie PMOya nimepambana nikakumbuka password 😀
Full back zako zinanitesa sana😀. Asilimia kubwa ya mashambulizi zinaanzia fullback zako kupokonya mpira mawinga wanguKuna makosa fulani nimeshindwa kurekebisha😃 kwa winger wako kuna mipira nashindwa kukaba ngoja nitafute solution maana itakuja kuniua ile😃😃😃
Oddo mara ya kwanza alinishinda kumtumia nikamuweka reserve kabisa ila baada ya kupata Anchorman nikamludisha nikampa Defensive naona yupo fresh anapiga kazi plus Stamina yake ni 101 kuchoka sahau😃😃😃 huku kwa Timber nampa role ya Cb naona inamfanya hapandi😃😃😃Full back zako zinanitesa sana😀. Asilimia kubwa ya mashambulizi zinaanzia fullback zako kupokonya mpira mawinga wangu
Ngoja nifanye hivyo mkuuOngea na Maxence Melo Aziunganishe iwe moja mtumie PM
Shikran mkuu...yes mbappe nimeona nikilpg in kesho yupo pale....nashukuru calcedo Kuna muda anakwamisha safari yanguKandambili1 pitia hii kwa Caicedo huko kwa mbappe achana napo utapewa na konami