eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Incase you Wonder who is first guy
Screenshot_20250610-211944.png
Screenshot_20250610-211431.png
 
Owen wangu saiv nacheza nae kama SS week imekata akiwa bored Unakuta kalud zake huku mwanzoni kabisa kuchukua mpira😃😃😃
Kawaida hiyo kuna muda unakuta anashuka chini kabisa kuchukua mpira.
 
Razorblade Kikosi kule ni Hiki sasa kama na hiki kitakusumbua😃😃badilisha tu simu mapema kwanza nacheza possession game sio mchezo wangu kabisa
Screenshot_20250527-161518.png
 
Back
Top Bottom