Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,153
- 33,931
😃😃😃DahVyovyote vile we husumbui.
😃😃😃DahVyovyote vile we husumbui.
Umesema nikikuona online sasa nakuonaje online kama sio marafiki😃😃Code tu zinatosha 😂
Kubwa ajue Blitz tuuHata noob akijua kumtumia Son tu basi kwisha.
Umeishaa😂😂
Upo mkuu nikamkabe Totti leo😃😃Umeishaa😂😂
Kwa kutumia account ambayo ni marafiki 😂Umesema nikikuona online sasa nakuonaje online kama sio marafiki😃😃
Mie ndo napenda hivyo 😂Umeishaa😂😂
Roho mbaya tu kaka😃😃Kwa kutumia account ambayo ni marafiki 😂
Ukishafika division one hauwezi kuwa wa million ,Hii season inayoanza kesho kutwa nataka nitafute badge ya division one kabisa 😃😃hata ikiwa Rank ya million
Ndio mkuu nimepata wachezaji watano na bado na nafasi 2 za ziada asanteUmefanikisha??
Wachukue wote maana alhamic wanatolewaNdio mkuu nimepata wachezaji watano na bado na nafasi 2 za ziada asante
Division one kila siku we ni kugusa tuu 😃😃😃Ukishafika division one hauwezi kuwa wa million ,
Hapa bado siku mbili phase ikate
Kikubwa kucheza haijalishi unafungwa game ngapi.
View attachment 3363761
nunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2😀Aah nina kipa Ludovic nilimchukua juzi lakn simwamini kama Courtois 😃😃😃
Sema mkuu Nunez atakuja aniue saba peke ake siku moja😃😃😃
Nilikuwa nashangaa mbona leo mpira wa tofauti kabisa unacheza 😃😃 kumbe ilikuwa ni Anti Counter 😃😃nunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2😀
Ile ni anti counter sababu una press kwa fujo na ukiupata mpira pass 2 una shoot😀Nilikuwa nashangaa mbona leo mpira wa tofauti kabisa unacheza 😃😃 kumbe ilikuwa ni Anti Counter 😃😃
Kuna mtu nimecheza nae leo mchana kaniambia nijifunze kukaa na mali😃😃nikacheka tuu
Na kidogo nimekuja kumuelewa Owen mchezo wake kwahiyo hapa saiv ni counter tuu
Tuishi humo tu 😂Roho mbaya tu kaka😃😃
Itabid niisome vizuri hii Anti Counter 😃😃Ile ni anti counter sababu una press kwa fujo na ukiupata mpira pass 2 una shoot😀