eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nikushauri kitu mkuu kwa sasa league achana nayo komaa na events upate coins plus wachezaji

Ukiingia kwenye match hapo kwenye home screen yakoView attachment 3363471

Komaa na hizo event za Pvp hapo utakuwa unacheza na mtu kabisa kama league lakn advantage utapa rewards kama coins, level training, skills training pamoja na Gp hivyo vyote una vihitaji kujenga kikosi


Event ya pili ipo chini ni Ya AI Unacheza na macomputer na penyewe rewards ni kama za hapo juu plus kuna chance ya kupewa mchezaji kila week mpya
..

Hizo event zinabadilika Alhamic na nyingine zinakuja kila jumatatu kwahiyo hakikisha unazimaliza hizo then kama utaenda kucheza league kwenye division sawaa
Mkuu nimekupata ngoja nifanyie kazi hii kitu
 
Mkuu hapo naona wameweka uhitaji wa coin 100 na sina coin kwasasa....au ipoje?...
Kuna sehemu kwenye hao wachezaji karibu na coin wanakuwa wameandika Remaining one na kuendelea pita sehemu zote mpaka mwisho kabisa ukiona sehemu pameandikwa Remaining 1 au 2 na kuendelea bonyeza hapo hapo kuna mchezaji wako
 
Back
Top Bottom