eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half😀 second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae🙌
Kuna watu kwenye kumtumia utatamani ukimbie mechi dadeq mana mtu kila saa shuti. Kungekuwa na injury kwa makipa wangekoma 😄
 
Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda 😂😑
Screenshot_20250607_174414_eFootball.jpg
picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua 😑
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!
Screenshot_20250607_174355_eFootball.jpg

Screenshot_20250607_174347_eFootball.jpg
nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana 😄 🫩 leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha😑
Screenshot_20250607_174335_eFootball.jpg

Haya yote msababishi wewe Selikavu Na hii ni mbinu ya kukukimbia ila sikuambii 😄 mana sikuizi umeshanifanya teja unanifunga sana 😢 😅
🙌
 
Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda 😂😑View attachment 3359904picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua 😑
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!
View attachment 3359906

View attachment 3359913nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana 😄 🫩 leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha😑
View attachment 3359915

😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣

Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi🤣🤣🤣hizi nne bila tano bila kwako nimezila mno🤣🤣🤣
Screenshot_20250516-202939.png
 
😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣

Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi🤣🤣🤣hizi nne bila tano bila kwako nimezila mno🤣🤣🤣View attachment 3359945
Malipizi sio😂 sawa, ndo nakukimbia sasa
 
Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda 😂😑View attachment 3359904picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua 😑
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!
View attachment 3359906

View attachment 3359913nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana 😄 🫩 leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha😑
View attachment 3359915
Haya yote msababishi wewe Selikavu Na hii ni mbinu ya kukukimbia ila sikuambii 😄 mana sikuizi umeshanifanya teja unanifunga sana 😢 😅
🙌
Huyo jamaa sio mtu mzuri wallah😂🙌🏿
 
😃😃😃Dah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap🤣🤣🤣

Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi🤣🤣🤣hizi nne bila tano bila kwako nimezila mno🤣🤣🤣View attachment 3359945
We jamaa sio mtu mzuri kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom