eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hakuna aliyekupangia kaka ni kwenye harakati za kuelekezana plus utani nothing serious mzee😃😃😃

Kwanza leo twende room kaka nina kikosi kipya cha moto balaaView attachment 3359119
Naelewa ila wewe umekomaa na Adams wangu kama vile anakutoa roho, najua unamtamani sana basi jitulize tu utampata 😂

Sichezi zaidi ya events mpaka nipate simu ya kueleweka 😂
 
Naelewa ila wewe umekomaa na Adams wangu kama vile anakutoa roho, najua unamtamani sana basi jitulize tu utampata 😂

Sichezi zaidi ya events mpaka nipate simu ya kueleweka 😂
Sasa kujituliza kwangu kunahusiana nini na kumpata Tony Adams😃😃😃

Unacheza event muda gani na mimi nije ni search muda huo🤣🤣🤣
GqqQ5a9XYAALESl.jpeg
 
Back
Top Bottom