Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Aah pole mkuuMtandao kipindi cha kwanza jau sana
Aah pole mkuuMtandao kipindi cha kwanza jau sana
Nilikuwa natafuta comment ya master Razorblade akiwa ananielekeza game.... Niliscreenshot kwa matumizi ya baadae ila nimeikosa...Mzee wa kuchimbua makaburi 😂.. hiyo umeitoa wapi?
Mikwara tu ile 😂.. mlijaa nasoma mlivyokuwa mnachati pale mlikuwa mnamsaksia Negan kwangu, sema sikuziona eti ndo nazisoma leo.Nilikuwa natafuta comment ya master Razorblade akiwa ananielekeza game.... Niliscreenshot kwa matumizi ya baadae ila nimeikosa...
Razorblade kumbe master wangu alafu namuelekeza tena🤣🤣🤣mwanafunzi sina adabu
Master shifuu Razorblade umeniispire sana kucheza Efootball bila wewe ningekuwa sijui😃hatubishani tena kuhusu anchoring hapa na mimi nataka nikampe Bastoni maana master ni master tuu akifanya kitu igaView attachment 3359344
Negan ameanza kucheza game kitambo kabla yetuMikwara tu ile 😂.. mlijaa nasoma mlivyokuwa mnachati pale mlikuwa mnamsaksia Negan kwangu, sema sikuziona eti ndo nazisoma leo.
Wewe muda wowote ukiniona online njoo usearch 😂Sasa kujituliza kwangu kunahusiana nini na kumpata Tony Adams😃😃😃
Unacheza event muda gani na mimi nije ni search muda huo🤣🤣🤣View attachment 3359273
Naweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu 😂Nilikuwa natafuta comment ya master Razorblade akiwa ananielekeza game.... Niliscreenshot kwa matumizi ya baadae ila nimeikosa...
Razorblade kumbe master wangu alafu namuelekeza tena🤣🤣🤣mwanafunzi sina adabu
Master shifuu Razorblade umeniispire sana kucheza Efootball bila wewe ningekuwa sijui😃hatubishani tena kuhusu anchoring hapa na mimi nataka nikampe Bastoni maana master ni master tuu akifanya kitu igaView attachment 3359344
Siku ukinikuta event nakufunga afu mwishoni naquit🤣🤣🤣Wewe muda wowote ukiniona online njoo usearch 😂
Sawaa Shifuuu🤣🤣🤣🤣 nitajitaid naomba siku nipate game na wewe nipate tena mawili matatu ya kunifanya niwe pro😃😃😃najua upo busy na wanafunzi wengi ila fanya kunikumbuka master i humbly submitNaweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu 😂
Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half😀 second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae🙌Huko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile 😂💔
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku 😂🔥
Nacheza events tu.Sawaa Shifuuu🤣🤣🤣🤣 nitajitaid naomba siku nipate game na wewe nipate tena mawili matatu ya kunifanya niwe pro😃😃😃najua upo busy na wanafunzi wengi ila fanya kunikumbuka master i humbly submit View attachment 3359581
Wakati sisi hatukuona umihimu wake tukamchukua Owen mambio 😂Huko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile 😂💔
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku 😂🔥
Ukikitana na mtu anaejua kumtumia vizuri huyo anakufunga hata akiwa haliangalii goli 😂Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half😀 second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae🙌
Jamaa alikua anatumia 3 touches tu😀. Touch ya kwanza anapokea mpira ya pili anageuka ya 3 anafunga😀Ukikitana na mtu anaejua kumtumia vizuri huyo anakufunga hata akiwa haliangalii goli 😂
Mbona alikuwa ni bure kabla sijahamia Efootball waliwaleta legends kazaa na Batistuta alikuwepoHuko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile 😂💔
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku 😂🔥
Nokajua nateseka peke angu😃😃😃Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half😀 second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae🙌
Aah master sio vizur master😃😃😃Nacheza events tu.
Wakati sisi hatukuona umihimu wake tukamchukua Owen mambio 😂
Sasa wamemuona ana trend anauzwa sasa 😂 brand lazima ipande beiMbona alikuwa ni bure kabla sijahamia Efootball waliwaleta legends kazaa na Batistuta alikuwepo