eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mkuu NEGAN leo fainali ya UEFA nations league saa nne usiku na mara nyingi mechi zetu humu tunaanza kucheza saa nne😃 tutatoboa kwel au tuangalie adjustment
 
Shifu Razorblade sijakusalimu leo master 😃😃😃

Heshima yako master
images (1) (10).jpeg
 
Kuna account ya Selikavu nimefungua😃😃soon nitawaomba mniadd maana kile kikosi kina balaa natafuta coins nipate kocha maana kwa sasa kwa mfumo wangu kipo tayali asilimia kama 80 hivi
Sema konami jau sana, baada ya kupoteza account nilivyokuwa nafungua hii ya sasa kuweka Razorblade iligoma.

Kwahiyo una account 4 sasahivi?
 
Back
Top Bottom