Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Nimekula kipigo aseee🙌bado cha moto mpira wangu wa bahati nasibu umeishia hapa leoWe jamaa sio mtu mzuri kabisa😂😂
Nimekula kipigo aseee🙌bado cha moto mpira wangu wa bahati nasibu umeishia hapa leoWe jamaa sio mtu mzuri kabisa😂😂
Me sitaki mtu ambaye simjui😃😃game kama hizi unafungwa unapewa na comment safi kabisaPandisha kiwango division pale ukikosa opponent wa kwenda nae room😄 🤣
Mkuu inatakiwa turudiebunipige vizuri maana 😂😂Nimekula kipigo aseee🙌bado cha moto mpira wangu wa bahati nasibu umeishia hapa leo View attachment 3360019
Tulud saiv au??Mkuu inatakiwa turudiebunipige vizuri maana 😂😂
Alaf mda ule nlitoka kucheza jamaa kaweka 12min sijatulia invite hiyo😂
Aina noma kakaKesho brother
Huyo Myunani mbona last seen yake ni siku hiyohiyo aliyojiunga tena ni 2012 😂
Sawa kaka, nitakuwepo.
Unyama sana, nimekuwa nikitamani kucheza Co-op lakini kwa simu yangu sidhani kama inaweza kucheza vizuri.Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least
Tufanye hivo haha mchomeshaji tutakuja kumsema humu 😄Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least
Simo 😂Tufanye hivo haha mchomeshaji tutakuja kumsema humu 😄
Uje. We na Myunani mtakuwa upande mmoja 😂💔 nyie si wataniSimo 😂
Nitachoma tu simu yangu naielewa mwenyewe 😂Uje. We na Myunani mtakuwa upande mmoja 😂💔 nyie si watani
Haha tutaona hiyo mida, muhimu tuenjoy game tu.Nitachoma tu simu yangu naielewa mwenyewe 😂
Sawaa mkuu😃😃😃
Vyovyote itakavyokuwa msiniweke na Razorblade 😃😃😃Hivi wadau mnaonaje tucheze coop saa 4 usiku watu wanne at least