Kitu ambacho tunapaswa kujua ni kuwa hizi individual instructions kila mtu anaweka kwa mapenzi yake kulingana na mahitaji ya kikosi chake.Selikavu ,Razorblade ,NEGAN kuna siku tulikiwa na mada kuhusu Anchoring, kuna hii nimekutana nayo huko Telegram kwa huyu jamaa. Yeye huwa anaitumia kwa washambuliaji wake, bado sijaijarib ila nahisi itakuwa moto 🔥🙌 View attachment 3358489
Wewe weka instructions zako, za kwangu ziache.Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii😃🫵
Hanisumbui huyo 😂, binafsi siwezi mpa CF instruction ya anchoring maana hawezi fanya kazi navyotaka ila mtu kama Selikavu hawezi elewa 😂Dah we mkorofi sana🤭 Razorblade 😀
Kimmich kwangu ata niwe na kikosi cha 3200 hakosi namba hata bench 😃😃Nauza goalkeeperView attachment 3358983
Dah huyo Halaand pocher mzee na Bellingham ana one touch pass nimewataman sanaView attachment 3358984
Leo nimekuwa na bahati ya POTW kwa coin 200 nikapata niliowataka.
Hakuna aliyekupangia kaka ni kwenye harakati za kuelekezana plus utani nothing serious mzee😃😃😃Kitu ambacho tunapaswa kujua ni kuwa hizi individual instructions kila mtu anaweka kwa mapenzi yake kulingana na mahitaji ya kikosi chake.
Ni vizuri kutumia kwa CF kama maelezo hayo yalivyo lakini lazima uelewe kwamba ukimpa anchoring CF hatokuwa na mikimbio mingi ya kuweza kuwavuta mabeki na inaweza kuwa rahisi kwake kufanyiwa marking.
Hapana nimekataa kaka😃😃😃kwann umpe Tony Adams Anchoring😃Wewe weka instructions zako, za kwangu ziache.
Kiukwel siwezi elewa ndugu watazamaji🤣Hanisumbui huyo 😂, binafsi siwezi mpa CF instruction ya anchoring maana hawezi fanya kazi navyotaka ila mtu kama Selikavu hawezi elewa 😂
Leo asubuhi kwenye PvP event nimekutana beginner kipindi cha kwanza tumecheza vizuri ila kipindi cha pili akafanya ujinga kumark CF wangu halafu akanifunga kwa smart assist.
Sasa embu fikiria ndo unampa anchoring CF halafu unakutana na mtu anawamark hapo inakuwa kazi juu ya kazi.
Yeah Individual instructions zinaendana na mechi husika kuna muda zinaweza kufanya kazi kwa opponent huyu halafu kwa opponent mwingine zikakataa.Hanisumbui huyo 😂, binafsi siwezi mpa CF instruction ya anchoring maana hawezi fanya kazi navyotaka ila mtu kama Selikavu hawezi elewa 😂
Leo asubuhi kwenye PvP event nimekutana beginner kipindi cha kwanza tumecheza vizuri ila kipindi cha pili akafanya ujinga kumark CF wangu halafu akanifunga kwa smart assist.
Sasa embu fikiria ndo unampa anchoring CF halafu unakutana na mtu anawamark hapo inakuwa kazi juu ya kazi.
Sawaa mkuuMkuu saa hii hamna baadae usiku tutapanda
Sasa si tuludi nyingine Edo kissy 😃😃😃😃View attachment 3359213
Kuna kakazi nlikiwa nafanya nishamaliza..Sasa si tuludi nyingine Edo kissy 😃😃😃😃View attachment 3359213
Ningempata huyo Halaand Pocher aseee basi tuu🤣🙌View attachment 3359249
Umesahau na hii mkuu. Unakiwasha mno dadeq😂🙌🏿
Tulud kwahiyo 😃Kuna kakazi nlikiwa nafanya nishamaliza..