Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
😅😅nimeonq,amna haja ya kufika kwa box una mtumia moja kwa moja bunker booster njee ya boxUmeona lakin hana kipa hapo
😅😅nimeonq,amna haja ya kufika kwa box una mtumia moja kwa moja bunker booster njee ya boxUmeona lakin hana kipa hapo
Nilipigiwa simu ya muhimu kaka nikashindwa kukata ikabid nipokee tuu
Akiingia uwanjani huyo mmoja anakuwa kipa😃😃konami walijua kuna vijana watajaribu kucheza bila kipa😅😅nimeonq,amna haja ya kufika kwa box una mtumia moja kwa moja bunker booster njee ya box
Jana ilikuwa nuksi plus script 😄 .. game zilikuwa za moto mno kwangu.Kumsumbua hivi Gilberto_ ni mpaka mwakani Tena majira kama hayaView attachment 3357688View attachment 3357689
Mi nakaba kweli mana ulikuwa ukipanda counter tu kamba 😄sijui beki jana zilishindia njaaSasa kama huna beki five unakaba vile mzee🤣🙌ukiweka me napita wapi😃😃
Sawaa kakaSawa kaka mida tuguse
Konami wameona unashinda mno kwangu wakaona wakupige script 😃😃Jana ilikuwa nuksi plus script 😄 .. game zilikuwa za moto mno kwangu.
Ngoja nipate yule halaand pocher 😃😃🙌kuna counter zinakataa kwa sababu striker hana nguvuMi nakaba kweli mana ulikuwa ukipanda counter tu kamba 😄sijui beki jana zilishindia njaa
Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii😃🫵Selikavu ,Razorblade ,NEGAN kuna siku tulikiwa na mada kuhusu Anchoring, kuna hii nimekutana nayo huko Telegram kwa huyu jamaa. Yeye huwa anaitumia kwa washambuliaji wake, bado sijaijarib ila nahisi itakuwa moto 🔥🙌 View attachment 3358489
Hatoki tena kwenye position yake 😄 🔥Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii😃🫵
AChana na beki kisiki😃😃Hatoki tena kwenye position yake 😄 🔥
Dah we mkorofi sana🤠Razorblade 😀Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii😃🫵
Idea nzuri kwa CFSelikavu ,Razorblade ,NEGAN kuna siku tulikiwa na mada kuhusu Anchoring, kuna hii nimekutana nayo huko Telegram kwa huyu jamaa. Yeye huwa anaitumia kwa washambuliaji wake, bado sijaijarib ila nahisi itakuwa moto 🔥🙌 View attachment 3358489
🤣🤣🤣Unamchukuliaje inverted Midfielder kaka😃😃Dah we mkorofi sana🤠Razorblade 😀