Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Timber anacheza position tatu pale RB, CB na LB kwakuwa ukitaka awe free unamuacha acheze Lb Yake ila ukitaka a steak kukaba unamweka upande wa Lb lakn unampa role ya Cb kwahiyo unakuwa na Cb watatu na Rb mmojaUnajua mpaka leo sijajua nipite na nani pale, Timber si ni RB lakini?