Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Sema hayupo tuu😃😃Tumempa tayari😂
Sema hayupo tuu😃😃Tumempa tayari😂
Aah kumbe ulikua unafanya undercover investigation kwanza😀😂😂😂🙌Nimelud kuangalia kila kitu ni chako 😃🙌
Sijui ilinipitaje hii na nimelud mara nyingi sana kufukua makuburiAah kumbe ulikua unafanya undercover investigation kwanza😀
Zamani game lilikua tactic full manual ila sasa hivi AI imeharibu vitu unacheza na noob anpiga pass kama mkongwe anasaidiwa kila kitu na AI.Kwamba zaman lilikuwaje naona pale unaset vitu vingi sana adi raha
Nimetoka kucheza na mtu friend match anatumia smart assist 🙌nimejuta kucheza😃Zamani game lilikua tactic full manual ila sasa hivi AI imeharibu vitu unacheza na noob anpiga pass kama mkongwe anasaidiwa kila kitu na AI.
Zamani ukicheza division matches unaona ufundi halisi wa watu hadi una appreciate.
Oya Kaka acha tu.Nimetoka kucheza na mtu friend match anatumia smart assist 🙌nimejuta kucheza😃
Kaka acha tuu kuna muda nilitaman niwashe na mimi nikakumbuka nimesema mpaka nijue gameOya Kaka acha tu.View attachment 3355679ona huyu nilikutana nae division pale. Jamaa hata kucheza mpira mzuri hachezi anabutua tu afu kilichoniuma zaidi vipasi vyake vya smart assist pale kachop ya kwanza akanifunga na BatiGoal 🫩 nikapambania nimerudisha dakika za mwisho naongoza nashangaa tena kaotea mali BatiGoal tena duh , afu mi kila nikishambulia natoka hola alikuwa na yule Cech wa 99 🙌🫩😂
Hahaha mi kuna mechi kwa hasira niliwasha afu nikakosa goli 2 za wazi ambazo kawaida naweza kufunga 😂nikaenda kuizimaKaka acha tuu kuna muda nilitaman niwashe na mimi nikakumbuka nimesema mpaka nijue game
Hivyo vipasi vinauzi bhana maana kawaida mtu kabla hajapiga chop unakuwa ushakaba😃
Me nikiwa nayo sikosi mzee si unajua direction kipengele kwangu😃😃Hahaha mi kuna mechi kwa hasira niliwasha afu nikakosa goli 2 za wazi ambazo kawaida naweza kufunga 😂nikaenda kuizima
Kuna magoli ya kufosi sikuiz nimejifunza. Sasa yale smart assist hamna 😂Me nikiwa nayo sikosi mzee si unajua direction kipengele kwangu😃😃
Ngoja baadae tutaenda niyaone😃😃Kuna magoli ya kufosi sikuiz nimejifunza. Sasa yale smart assist hamna 😂
Ohoo ushawahi ona goli mpira unarudi kutoka nyavuni kipa ndo anaruka? 😂Ngoja baadae tutaenda niyaone😃😃
AseeeOhoo ushawahi ona goli mpira unarudi kutoka nyavuni kipa ndo anaruka? 😂
Kaka kamchukue timber akupigie kazi chafu hapo kwa Theo HernandezHumu tu 🔥
View attachment 3356871
View attachment 3356872
View attachment 3356873
Namsubiri Victor Baia ili nimtoe huyo Donnarumma hapo, DG ndiyo nawaelewa ila bado najifunza kuwatumia vizuri.
Unajua mpaka leo sijajua nipite na nani pale, Timber si ni RB lakini?Kaka kamchukue timber akupigie kazi chafu hapo kwa Theo Hernandez
Booster zimeisha, halafu huyo hapo kakaa tu nikimpata naemtaka namtoa.Alafu messi anafika 102 booster yake nasikia ni Fantastia