Unanunua pack nzima mzeeππNamtafuta uyu mzee ,nianze kutumia LBC coins 1500
Mkuu naomba stats za Amadou Onana nifanye comparisonUkimuona Tchouameni popote usijiulize mara 2 nunua hata coinsπ View attachment 3353292
Roho mbaya tuuπ€£Amrabat hauzwi we baki na Guardiola wako tu π
Sawaaa kaka njoo unifunge basiHizi akili za waoga wa kucheza mpira mzuri π, namba 6 asili wawili kwenye kikosi kimoja ni uoga wa hali ya juu π
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu πRodri overall ni mzuri tatizo lake speed tu. Tchouameni hajui kuoiga pass. Kuhusu Tchouameni nahisi humuelewi sababu hana tight possession kubwaπ
Wewe waanzishe wote tuu π π πHivi kati ya Tchouameni card hii na Rodri card mpya yupi yupo vizuri zaidi?
Aurelien sijuhi kwanini simwelewagi kabisa. Labla card zake zingine
Tchoumen ni Anchorman haswa plus speed hiyo 88 aah Batistuta hapiti hapoRodri overall ni mzuri tatizo lake speed tu. Tchouameni hajui kuoiga pass. Kuhusu Tchouameni nahisi humuelewi sababu hana tight possession kubwaπ
Inategemeana na mchezo wako kama kwangu me Tchoumen anafit vzr kabisa na sioni weakness yake...Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu π
Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu π
Nipe 15k πRoho mbaya tuuπ€£
SawaInategemeana na mchezo wako kama kwangu me Tchoumen anafit vzr kabisa na sioni weakness yake...
Ndo unajua leo aisee, ukiwa na anchor man halfu CMF awe hole player, orchestrator au box to box, hapo ni burudani tu.NEGAN partnership ya Orchestor na Anchorman ni π₯
Kama ulivyosema
Saiv nashangaa Guardiola akiwa na Rodri anazunguka uwanja mzima bila shida yoyote wakati akiwa na de jong waligawana pandeππππ
Sasa kaka wewe si ulikuwa na Amrabat box to Box... Alafu unacheza na DMF mmojaNdo unajua leo, ukiwa na anchor man halfu CMF awe hole player, orchestrator au box to box, hapo ni burudani tu.
Hiyo laini nilikuwa nayo, imepotea huu nahisi mwaka wa 3 πLeta lipa namba ya TTCL mkuuππ
View attachment 3353368
Siwezi panga kikosi halafu nikaweka 2DMF, ubunifu unapungua.Sasa kaka wewe si ulikuwa na Amrabat box to Box... Alafu unacheza na DMF mmoja
Me ipo ndaniHiyo laini nilikuwa nayo, imepotea huu nahisi mwaka wa 3 π
Unajikuta nani kakaπππ fundi maestro sioππSiwezi panga kikosi halafu nikaweka 2DMF, ubunifu unapungua.
Nataka boli litembee πUnajikuta nani kakaπππ fundi maestro sioππ