Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nipo hapa nasubiri mkuu.Me nipo nawaza nikiache kipi kati ya kile cha japan kipya au changu 🤣🤣
eniwei tutaona kaka nikifanya maamuzi nitakupa kimoja
Nipo hapa nasubiri mkuu.Me nipo nawaza nikiache kipi kati ya kile cha japan kipya au changu 🤣🤣
eniwei tutaona kaka nikifanya maamuzi nitakupa kimoja
Pow kaka...me hichi kina wachezaji wangu pendwa wote plus VVD wa 100Nipo hapa nasubiri mkuu.
Angalia usiende kivutia chooni tu 😂Pow kaka...me hichi kina wachezaji wangu pendwa wote plus VVD wa 100
Nitakuachia changu🤣🤣🤣cha Owen ila ngoja kwanza nivute bhangi🤣🤣🤣
SAwaa kaka😃😃Angalia usiende kivutia chooni tu 😂
Micky van de Ven.Una bahati nani huyo
Shukran kakaHaizingui mkuu.
Kwamba wanakopesha ki vipi?Watu wanacheza na fursa aisee 😂
View attachment 3351940
Nikapate kikosi cha 3250 sasa cha mkopoWatu wanacheza na fursa aisee 😂
View attachment 3351940
Wanakopesha account malipo kwa wiki, mwezi, miezi 6 au mwaka kwa kulingana na ukubwa wa account.Kwamba wanakopesha ki vipi?
Wahi 😂Nikapate kikosi cha 3250 sasa cha mkopoView attachment 3352218
Mapema tuu kesho mtanikuta na kikosi ya 3200Wahi 😂
Fanya hivyo chap.Mapema tuu kesho mtanikuta na kikosi ya 3200
🤣maumivu ya icho kikosi ni pale utapokua una pigwa na mtu wa 3100Mapema tuu kesho mtanikuta na kikosi ya 3200
3100 mbali kaka kuna jamaa ana kikosi cha 3058 na ananifunga kila siku🤣maumivu ya icho kikosi ni pale utapokua una pigwa na mtu wa 3100