Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Hapa nitaondoka na Dominik Livakovic(DG)
Uhakika hapo kaka. Mi mwenyewe namchukua hiyo wa Croatia sijui ndo huyo DominicHapa nitaondoka na Dominik Livakovic(DG)
View attachment 3349544
Ni Build up au destroyer??Wakuu hii card imekula coins zangu 500 mpaka kuipata na sijutii kama Selikavu 😂
View attachment 3349521
View attachment 3349522
View attachment 3349523
Pia nimefatilia CB wenye skill ya Destroyer wengi wanaspeed ya kawaida kiasi kwamba ikipigwa mipira mirefu kama wamesogea juu inakuwa ngumu kukimbizana na mpinzani.
Nimeamua Tony Adams kumpa instruction ya Defensive.
View attachment 3349524
Mimi nina ujinga ila wako umezidi kaka🤣🫵View attachment 3349525
View attachment 3349527View attachment 3349529
We kwanza unatumia username gani? 😂😂
Maana yake hii hata kwa LB ambaye anaskill ya Attacking fullback haina haja ya kumpa instruction ya Attacking, basi ngoja niset upya individual instructions.Hapana. Achana nae tu. Mara nyingi huwa wanakaa nyuma tu, ila kuna muda mwingine huwa wanapanda hao wa defensive FB
Hata mimi mkuu sipendi kuwatumia AG ni jau sana.Uhakika hapo kaka. Mi mwenyewe namchukua hiyo wa Croatia sijui ndo huyo Dominic
Defensive GK huwa nawaelewa sana kuliko Attacking
Pamoja.Yeah unaweza ili awe purely defensive
Yuko makini na kazi 😂Mimi nina ujinga ila wako umezidi kaka🤣🫵
Poa, nitaweka settings upya hapo.Hamna haja hata Anchorman haumpi hawa offensive na Orchestor mzee muhimu kaka
Ni Build up huyo.Ni Build up au destroyer??
Sema huyu jamaa ana speed sana DLS amenisumbua mno kumpita sijajua huku
Wamekupa mwingine nani pale??
😂😂 🥴Mimi nina ujinga ila wako umezidi kaka🤣🫵
Aisee coins zote hizo.
Hamna yani nafikiria hiyo hela aliyotumia kuzinunua hizo coins 😂Huamini au 😂😂
Leo tu nimetumia coins 500 kwaajili ya mchezaji mmoja, kuzitunza ni jambo gumu 😂Sema mwenyewe na mashaka tuendelee kucheza event na kuzitunza😂