Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Uvumilivu wako mdogo wewe utaitupa chini 😂Ukikosa njoo uchukue yangu kaka nipe yako😃😃tuwe tunacheza
Uvumilivu wako mdogo wewe utaitupa chini 😂Ukikosa njoo uchukue yangu kaka nipe yako😃😃tuwe tunacheza
Na hao mabeki wenyewe wapo sambamba na kipa 😂Ana bonge la ukuta mbele ya mabeki🤣
😂😂😂 NitajikazaUvumilivu wako mdogo wewe utaitupa chini 😂
Unajua kuna wakati natoka nyuma vizuri ila nikifika karibu na eneo la mpinzani inaanza kuganda kuja kukaa sawa nishaporwa mpira 😂😂😂😂 Nitajikaza
Pole sana 😃😃Unajua kuna wakati natoka nyuma vizuri ila nikifika karibu na eneo la mpinzani inaanza kuganda kuja kukaa sawa nishaporwa mpira 😂
Kumbe familia wote tunapenda kukaba🙌🤣.Mabeki wangu wanalindwa hapa penyewe nataka nianze kumchezesha Pedri kama CMF na sio AMF maana ni Box to Box ningempata na Sablozai mbele ya namba sita wangu Wanakaaa box to Box wawili mbele wapo na nyuma wapo....🤣🫵
Hole player na creative playmakers kuwachezesha AMF kwenye timu yangu hapana aseee hawalud kukaba
Naludia napenda kukaba😃😃😃
Defensive fullback wawili🙄 peak Haram ball😅Nikipata defensive Fullbacks mbili Anchorman wawili... Mabeki wangu wa kati nikapata destroyer mmoja...
AMF wangu Box to Box...
Namba tisa wote wawili Goal Poacher😃🫵 wote hapa. Wanaanza kikosi cha kwanza itakuwa super team kwangu.... hapo nitakuwa nimekamilika aje yoyote😃😃😃😃 formation 4222
😃😃😃Me nasema humu kila siku napenda kukaba😃😃😃Kumbe wote tunapenda kukaba🙌🤣.
Mimi napenda kukaba kuliko kushambulia😃. Mpinzani wangu akitoka na shot on target chini ya 3 najipongeza😀😃😃😃Me nasema humu kila siku napenda kukaba😃😃😃
BAsi tuu bado sijui vizuri
Napenda hiyo😃😃me bado nipo Analogy au old football maswala sijui ya inverted full back anakuwa middle hapanaDefensive fullback wawili🙄 peak Haram ball😅
Kuna kafeeling fulan hivi huwa najiona mwamba😂😂Mimi napenda kukaba kuliko kushambulia😃. Mpinzani wangu akitoka na shot on target chini ya 3 najipongeza😀
Wewe unajisahaulisha kuwa umeweka beki zako karibu na kipa 😂Mill broh kaka simu imebakiza 5 hapa ngoja niweke chaji baadae tutaenda
ila kaka fanya Fanya basi upunguze hata DM mmoja nije mbele kwa uhuru 🤣🤣View attachment 3348984
Kupanga ni kuchagua...😃😃😃Wewe unajisahaulisha kuwa umeweka beki zako karibu na kipa 😂
Sijawahi jaribu possession 😀. Lakini kwenye possession ni ngumu kutengeneza nafasi sababu wachezaji hawakimbii mbele haraka kama quick counterNEGAN mkuu iv unaweza ukaweka possession Game alafu ukawa unatumia Counter😃😃😃
Nimeona kama possession game ina kitu fulan hivi
Nimeona kama mabeki wanabakia kwenye shape tofauti na quick counter wanasogea mno through pass zikipigwa zinawapitaSijawahi jaribu possession 😀. Lakini kwenye possession ni ngumu kutengeneza nafasi sababu wachezaji hawakimbii mbele haraka kama quick counter