Jamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive 😃😃 me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..Kwa mala ya kwanza napewa mtu wa maana
Kama unatumia back 5 ndio utamuenjoyJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive 😃😃 me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Muwekee lb wako defensive instruction halafu Oddo muache free uone maajabu yakeJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive 😃😃 me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Sawaa mkuuMuwekee lb wako defensive instruction halafu Oddo muache free uone maajabu yake
Itabid nijaribuKama unatumia back 5 ndio utamuenjoy
Ukimuwelea defensive instruction hapandi.Sawaa mkuu
LB wangu huwa ni Timber (Fullback Finisher lakin pale nampa Role ya CB kwahiyo CB Wanakuwa watatu na RB mmoja
Ila naona bado naye timber anapanda tuu😃😃😃
Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruUkimuwelea defensive instruction hapandi.
Formation ya nzuri back 3 cha kufanya mgeuze Timber awe kulia na Bastoni kushoto VVD kati sababu wana kasi la sivyo VVD atalambishwa mchanga hana speed😀Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200🫵🤣
Jichanganye coins zangu 300 zimeenda kwa yaya toure😅Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200🫵🤣
😂😂kwambq jamaa ana kiherehere ila attacking full back unataka akae nyuma kufanyaje, defensive wape CBJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive 😃😃 me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Yaya toure wananipa nimeshamuweka wallpaper mizimu ya Konami kwenye spine imuione kabisa namhitaji😃Jichanganye coins zangu 300 zimeenda kwa yaya toure😅
Tangu nipewe Vardy na Konami nikajua kila siku ni jumapili
😃😃😃Me mfumo wangu napenda kukaba sana isipokuwa ninapocheza na timu Brazil yenye kocha wa Atalanta 🫵🤣 hapo nashambulia kama nyuki😃😃😂😂kwambq jamaa ana kiherehere ila attacking full back unataka akae nyuma kufanyaje, defensive wape CB
Hizi formation zingine ni kuukosea heshima mpira 😂Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200🫵🤣
Katambike kwanza 😂Yaya toure wananipa nimeshamuweka wallpaper mizimu ya Konami kwenye spine imuione kabisa namhitaji😃
Mtesi wangu hapa razorblade nawaza kabla sijaspine niende nae room anifunge kama game tano ivi afurahi mambo kwisha kabisa Yaya toure mapema tuu saa 11 asubuhi kesho wananipa🫵🤣
Sawaa mkuu nitafanya hvyoFormation ya nzuri back 3 cha kufanya mgeuze Timber awe kulia na Bastoni kushoto VVD kati sababu wana kasi la sivyo VVD atalambishwa mchanga hana speed😀
Formation kali sana hiyo ukikaa hovyo utakufa mikono miwili...Hizi formation zingine ni kuukosea heshima mpira 😂
Nipo naongea na Guilberto hapa ikiwezekana nimpe Id yangu aspine🫵🤣Katambike kwanza 😂
Nimeclear storage leo ila bado sijajaribu 😂Formation kali sana hiyo ukikaa hovyo utakufa mikono miwili...
Sema nipo Honeymoon sichez na wewe kaka🤣🤣🫵