eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mie naona unatumia makipa watatu tu hapo 😂
Na amekataa tu kuzibwa nilitaka nimfiche kabisa na VVD
Formation yangu ya pili itakuwa hii sisi kama Inter Milan wazee wa defensive football
Screenshot_20250527-192801.png
 
Kumbe unawawekeanga DMF wote defensive instructions 🙌 Najiulizaga kwa nini nikicheza na wewe sipati space mbele ya mabeki leo ndio nimegundua 🤣
😃😃😃Sasa nina Orchestor wote mkuu sio Nifanyaje😃😃na kukaba sijui😃😃😃nikipata Anchorman hapo sawaaa nitapunguza moja😃
 
😃😃😃Sasa nina Orchestor wote mkuu sio Nifanyaje😃😃na kukaba sijui😃😃😃nikipata Anchorman hapo sawaaa nitapunguza moja😃
Yani nimejiuliza sana sikuwahi pata jibu inakuaje nikishika mpira kwenye half spaces Guardiola na De jong wameniganda 😀 kumbe hawapandi mbele🤣
 
Yani nimejiuliza sana sikuwahi pata jibu inakuaje nikishika mpira kwenye half spaces Guardiola na De jong wameniganda 😀 kumbe hawapandi mbele🤣
Na De jong ana deepline😃😃🤣

Ndo maana siwezi cheza mpira mwingine wowote mpira wangu ni through pass tuu😃😃😃

Tukajaribu bahati huko mbele 😃😃😃
 
Sema huyu nae muoga sana 😂
Sio uoga kaka ni nature ya viungo nilionao....

Me nahitaji namba sita asilia ambaye ni Anchorman Akikaaa amekaa sasa sina...

Nina Orchestor wawili.. kati kati wote wanapenda kupeleka mpira mbele...

Mmoja hana skills ya kukaba hata moja mwingine hana physical contact


Na nature yao hapo wana defensive ila bado nawakuta mbele wapo je wangekuwa hawana si wengekuwa wananingia kwenye box kabisa.....

Alafu nabadilika kutokana na formation ya mtu

Nilikutana na mtu anacheza 4-1-2-3 ana AMF wawili jamaa alinifunga mpaka. Akaja kusema kuna mtu huwa namfunga kwel 😃😃nikaona hapa nibadilishe kitu n de jong nikamtoa deepline nikampa CMF nikamtoa na Defensive instructions nikampa beki Timber ...

Then game zilizofata adi leo jamaa hajawai nitafuta

So itategemeana unakuja vip ila humu ndani wote nacheza na double pivot hata kwako wewe maana nikizubaaa nafwaaa😃😃
 
Ana bonge la ukuta mbele ya mabeki🤣
Mabeki wangu wanalindwa hapa penyewe nataka nianze kumchezesha Pedri kama CMF na sio AMF maana ni Box to Box ningempata na Sablozai mbele ya namba sita wangu Wanakaaa box to Box wawili mbele wapo na nyuma wapo....🤣🫵

Hole player na creative playmakers kuwachezesha AMF kwenye timu yangu hapana aseee hawalud kukaba


Naludia napenda kukaba😃😃😃
 
Back
Top Bottom