eFootball Special Thread

Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567

Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200๐Ÿซต๐Ÿคฃ
Kumbe unawekeanga DMF wote defensive instructions ๐Ÿ™Œ Najiulizaga kwa nini nikicheza na wewe sipati space mbele ya mabeki leo ndio nimegundua ๐Ÿคฃ
 
Kumbe unawawekeanga DMF wote defensive instructions ๐Ÿ™Œ Najiulizaga kwa nini nikicheza na wewe sipati space mbele ya mabeki leo ndio nimegundua ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒSasa nina Orchestor wote mkuu sio Nifanyaje๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒna kukaba sijui๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnikipata Anchorman hapo sawaaa nitapunguza moja๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒSasa nina Orchestor wote mkuu sio Nifanyaje๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒna kukaba sijui๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnikipata Anchorman hapo sawaaa nitapunguza moja๐Ÿ˜ƒ
Yani nimejiuliza sana sikuwahi pata jibu inakuaje nikishika mpira kwenye half spaces Guardiola na De jong wameniganda ๐Ÿ˜€ kumbe hawapandi mbele๐Ÿคฃ
 
Yani nimejiuliza sana sikuwahi pata jibu inakuaje nikishika mpira kwenye half spaces Guardiola na De jong wameniganda ๐Ÿ˜€ kumbe hawapandi mbele๐Ÿคฃ
Na De jong ana deepline๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ

Ndo maana siwezi cheza mpira mwingine wowote mpira wangu ni through pass tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Tukajaribu bahati huko mbele ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Sema huyu nae muoga sana ๐Ÿ˜‚
Sio uoga kaka ni nature ya viungo nilionao....

Me nahitaji namba sita asilia ambaye ni Anchorman Akikaaa amekaa sasa sina...

Nina Orchestor wawili.. kati kati wote wanapenda kupeleka mpira mbele...

Mmoja hana skills ya kukaba hata moja mwingine hana physical contact


Na nature yao hapo wana defensive ila bado nawakuta mbele wapo je wangekuwa hawana si wengekuwa wananingia kwenye box kabisa.....

Alafu nabadilika kutokana na formation ya mtu

Nilikutana na mtu anacheza 4-1-2-3 ana AMF wawili jamaa alinifunga mpaka. Akaja kusema kuna mtu huwa namfunga kwel ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnikaona hapa nibadilishe kitu n de jong nikamtoa deepline nikampa CMF nikamtoa na Defensive instructions nikampa beki Timber ...

Then game zilizofata adi leo jamaa hajawai nitafuta

So itategemeana unakuja vip ila humu ndani wote nacheza na double pivot hata kwako wewe maana nikizubaaa nafwaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ana bonge la ukuta mbele ya mabeki๐Ÿคฃ
Mabeki wangu wanalindwa hapa penyewe nataka nianze kumchezesha Pedri kama CMF na sio AMF maana ni Box to Box ningempata na Sablozai mbele ya namba sita wangu Wanakaaa box to Box wawili mbele wapo na nyuma wapo....๐Ÿคฃ๐Ÿซต

Hole player na creative playmakers kuwachezesha AMF kwenye timu yangu hapana aseee hawalud kukaba


Naludia napenda kukaba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ