eFootball Special Thread

Jichanganye coins zangu 300 zimeenda kwa yaya toure😅

Tangu nipewe Vardy na Konami nikajua kila siku ni jumapili
Yaya toure wananipa nimeshamuweka wallpaper mizimu ya Konami kwenye spine imuione kabisa namhitaji😃

Mtesi wangu hapa razorblade nawaza kabla sijaspine niende nae room anifunge kama game tano ivi afurahi mambo kwisha kabisa Yaya toure mapema tuu saa 11 asubuhi kesho wananipa🫵🤣
 
😂😂kwambq jamaa ana kiherehere ila attacking full back unataka akae nyuma kufanyaje, defensive wape CB
😃😃😃Me mfumo wangu napenda kukaba sana isipokuwa ninapocheza na timu Brazil yenye kocha wa Atalanta 🫵🤣 hapo nashambulia kama nyuki😃😃

Sasa kwenye hizi mechi ninazopenda kukaba kuona Rb wangu anakimbiza mpira na Owen huwa nachanganyikiwa kabisa😃😃😃anaharibu defensive line yangu
 
Katambike kwanza 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…