Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sithubutu 😂Spin hapo umchukue huyo Peter Schmeichel kipa bora eFootball 🥶
Sithubutu 😂Spin hapo umchukue huyo Peter Schmeichel kipa bora eFootball 🥶
Haya endelea kukaa na bahati tu 😅Sithubutu 😂
Hongera yako mkuu.Kaka nili lala mapema
Sijawahi kuwa na bahati kwenye epic mimi kwahiyo hata sijisumbui 😂Haya endelea kukaa na bahati tu 😅
Haha, ko unatunza umchukue nani?Sijawahi kuwa na bahati kwenye epic mimi kwahiyo hata sijisumbui 😂
Pale kwenye pack ya Messi na Neymar pamoja na Torres muda wake unakaribia kuisha, target yangu ni kusubiri pack itakayokuja baada ya hizo.Haha, ko unatunza umchukue nani?
Hao ndo nawataka mimi sasa 😂Wale wenyeji wa game wanasema kuwa hichi kipindi cha ligi zote zikiisha huwa kuna offa nyingi sana za wachezaji wa bure 🥳
Wacha tungoje maneno 🥶
Mpka nimeogopa😃Usitishike mkuu wengine ni account za kununua unakuta tayari zipo dvn 1 😂, ila wako moto sana mule 😂
Leta username hiyo mkuuView attachment 3346022
Anaejiweza ajee
Coin zangu mie zipenda kauli kama hizi😃😃Wale wenyeji wa game wanasema kuwa hichi kipindi cha ligi zote zikiisha huwa kuna offa nyingi sana za wachezaji wa bure 🥳
Wacha tungoje maneno 🥶
Jobless kafagie hata uwanja basiLeta username hiyo mkuu
nitahack account yako nispine zote🤣🫵Pale kwenye pack ya Messi na Neymar pamoja na Torres muda wake unakaribia kuisha, target yangu ni kusubiri pack itakayokuja baada ya hizo.
Pia ikitokea kuna mchezaji nimemuelewa nitamchukua ila hapo kwenye epic hapana 😂
Nishafagia kaka hapa naenda kuwapa kuku maji🤣Jobless kafagie hata uwanja basi
Nikupe ID basi 😂nitahack account yako nispine zote🤣🫵
Nipe mkuu nikusaidie kuspine😃😃Nikupe ID basi 😂
Mkuu kile kipindi cha mpito kwa sasa kinaishia 😂, hongera kwa ushindi back to back.Nipe mkuu nikusaidie kuspine😃😃
Ndo maana hata sijapost kuna siku nikikikufunga najua hapa simu yake bomu hakuna kitu anafanya😃Mkuu kile kipindi cha mpito kwa sasa kinaishia 😂, hongera kwa ushindi back to back.
Nakuheshimu mpinzani wangu uko vizuri ila endelea kutrain 🏴😂, bila kisingizio game kwangu inalag sana lakini kwakuwa wewe ni mpinzani nacheza hivyohivyo ila takwimu naimani unazo.
View attachment 3346772