Epic ambaye namtaman hapo ni Kim min jae basiππUnamkatisha tamaa π anaweza akawaza kufungua nyingine mpya leo leo tena huyo
Hahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
Nyau de adriz le nyambulet enuchiiHahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
"Evil begets evil"View attachment 3345807
Gun man kama Gun man ππππ«΅Hahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
"Evil begets evil"View attachment 3345807
Ile ni rahisi sana kuamua kuwa kadi nyekundu mkuu, yote kwa yote huu ni uzi wa eFootball πKwa hiyo unataka kusema card nyekundu ya kagoma haikuwa halali?
Domo zito kilo 150 πDah nime kutana na pisi Kali, tume ishia kuangaliana tu.
aisee kudadadeki, π π.
Twende room kaka tukajipoze machungu ya simbaππDomo zito kilo 150 π
Dah nime kutana na pisi Kali, tume ishia kuangaliana tu.
aisee kudadadeki, π π.
Nilikuwa najipoza machungu na series βMy CountryβTwende room kaka tukajipoze machungu ya simbaππ
Me ndo natoka room...
Usitishike mkuu wengine ni account za kununua unakuta tayari zipo dvn 1 π, ila wako moto sana mule πMe ndo natoka room...
Aseee group lenu mbona kila mtu ana badge ya division one πππ«΅
Spin hapo umchukue huyo Peter Schmeichel kipa bora eFootball π₯Ά
Walaa haikuwa friendly occasionDomo zito kilo 150 π
Kaka nili lala mapema