Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,930
- 12,365
Chezea simu yangu unavyoweza ila usicheze na hiyo app π
Siku ya leo kama itapita sijafuta hili game sijui... Maana hata sina mzuka nalo tenaπ
Jeuri hiyo hana bhana asituchoshe πHuwezi futa na ukifuta kesho unalo tayariπ
Haitanisumbua kurudisha account ila hela ya hizo GB2 pamoja na hela ya usumbufu iwe pembeni(aindae) πHatari sanaπ
Hatari tupu πHapo atulie tu basi. Mimi kuna siku nakuwa na stress naingia kwa gane ili kutoa cha ajabu zinazidi tuπ
Poa tutagusa.Baadae tupashe maan kitambo
Yan wewe ndo unanitia hasira
Ukifuta eFootball lazima urudishe. Sema itakuuma pale gb 2 zitakapoliwa tena na penalty ulikuwa upigi baada ya kufuta gameπSiku ya leo kama itapita sijafuta hili game sijui... Maana hata sina mzuka nalo tenaπ
Ukisimama nchale ukikaa nchaleUkifuta eFootball lazima urudishe. Sema itakuuma pale gb 2 zitakapoliwa tena na penalty ulikuwa upigi baada ya kufuta gameπ
Mwanangu sana yuleNa huku umemuita aisee, kazini kuna kazi π
Nawauliza wakongwe kwanza kama anafika 100+ huyo nijichange.Yan wewe ndo unanitia hasira
Coin zilikuwa zake huyu πππ
Magame yake yatakuwa yale aina ya candy crush saga.Mwanangu sana yule
Mwamba unatumia tunguli za babu kuspinπ€
Kutoka 95 mpaka 102π€£
Ndo nimeshangaa maana nimezoea kuona zikiongezeka point 4 tu.Kutoka 95 mpaka 102π€£