Hata mimi huyo jamaa nilikuwa namtaka ila nimeona huu mtego coins zangu zitaenda bure ila yeye sasa anajikuta Guilberto πππππNa bado haelewi
Anataka kuwazoea vibaya πAnawaona konami wachumbaπ
Kaka nini shida ?, aisee si comrade wangu tu.ππUsiseme ke sema comrade wako π
Leo mniombee kama sijafuta hili game sijui π€£π€£π€£maana tangu asubuhi lishanikeraπππKwakua ni za bure, haya endelea kuzimaliza halafu ije pack nzuri uwe huna coins π
Anapiga sana kaziSasa kwani huyo Tony anacheza nafasi zote π
Pole MkuuπMimi kwa son nimepoteza nyingi tuπ€
I Install game au azima account ya mtu tukachezeππHamna kitu hapa, kikosi chote hiki na haushindiπ
I feel like i need to uninstall something π€£π€£π€£
Sawa πKaka nini shida ?, aisee si comrade wangu tu.ππ
Comrade Joanah na sisi tucheze game ?Usiseme ke sema comrade wako π
Nafuta game simple yan badala ya kupata Starehe napata msongo wa mawazoπ€£π€£Hana bahati kama mimi tu lakini hakomi, unapoteza coins 600 na hushituki π
Booster imemuongezea kitu.Anapiga sana kazi
Kenge haelewi mpaka atoke damuππππππNa bado haelewi
Na huku umemuita aisee, kazini kuna kazi πComrade Joanah na sisi tucheze game ?
Kaka hapana hii ya leo imeumaπ€£π€£Pole na wewe.