Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Usileft mie naenjoy kuona sms zako mule unatuwakilisha 😂Naleft 😃😃😃
Usileft mie naenjoy kuona sms zako mule unatuwakilisha 😂Naleft 😃😃😃
Na nyie si mchati😃😃😃Usileft mie naenjoy kuona sms zako mule unatuwakilisha 😂
Hata nikichart mie kujua ni ngumu sababu ya jina nalotumia WhatsApp ila nilivyoona lako tu nikajua ni wewe 😂Na nyie si mchati😃😃😃
🤣🤣🤣Sawaaa nitakupiga suprise siku moja nipo inbox kwakoHata nikichart mie kujua ni ngumu sababu ya jina nalotumia WhatsApp ila nilivyoona lako tu nikajua ni wewe 😂
Ukiomba code nachuna 😂🤣🤣🤣Sawaaa nitakupiga suprise siku moja nipo inbox kwako
Najua hautokuja kutoa code mule 😃😃😃Ukiomba code nachuna 😂
Haha sasa si unaonekana sana kwenye chattings pale mkuu 😂Kwa hiyo nyie mnaona raha kuniona tuu kunitafuta aah ngoja nitaleft sasa🤣🤣🤣View attachment 3342858
Sijui hata tuludi tena mkuuNini kimetokeq
No nipo busy ilibidi niweke simu pembeni 😃 nikasema selikavu huko anafunga kapu la magoli😃 niliposhika simu nikashangaa kuona 1-1Naona net yako ipo chini
Usiku tutaenda tena mkuu
Sitoi code mule 😂Najua hautokuja kutoa code mule 😃😃😃
Huyu naanza kumuogopa anacheza friend match mpaka saa 8 usiku 😂Selikavu baadae. Leo umetambika nini sio kwa kugonga post kule😃
Sio kawaida kugonga post kule 😃 huyu humkamati tena😃Huyu naanza kumuogopa anacheza friend match mpaka saa 8 usiku 😂
Aah niliona umesimama nikajua net kwahiyo hata sikukaba😃😃😃No nipo busy ilibidi niweke simu pembeni 😃 nikasema selikavu huko anafunga kapu la magoli😃 niliposhika simu nikashangaa kuona 1-1
Aina shida mzee 😃😃😃me hasira zangu nitakuwa namaliza room na weweSitoi code mule 😂