Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
😃😃😃Nitaleft lile group naona mmeshaona mbinu zangu za kuongeza kiwangoHuyu naanza kumuogopa anacheza friend match mpaka saa 8 usiku 😂
😃😃😃Nitaleft lile group naona mmeshaona mbinu zangu za kuongeza kiwangoHuyu naanza kumuogopa anacheza friend match mpaka saa 8 usiku 😂
Msimtie woga mwachen acheze tuu🤣🤣🤣Sio kawaida kugonga post kule 😃 huyu humkamati tena😃
Hilo nimeligundua usiku wa manane mkuu, Selikavu sitaki tena derby na wewe 😂Sio kawaida kugonga post kule 😃 huyu humkamati tena😃
Sitaki tena 😂Aah niliona umesimama nikajua net kwahiyo hata sikukaba😃😃😃
Ila ingekuwa Razorblade mmngekuta 10 bila🤣🤣🤣
Hatuchezi 😂😃😃😃Nitaleft lile group naona mmeshaona mbinu zangu za kuongeza kiwango
Mkuu huyo beki zake kaziweka karibu sana na kipa kama unasubiri mpaka usogee karibu ndo upige anakuwahi mapema, naweza fika ndani ya box lake hata mara 10 lakini kupiga sasa unakuta kashawahi na kupiga mashuti nje ya box bado najifunza 😂Mi leo nimejaa kwenye mfumo wake 😂
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoli😄 View attachment 3343145
Kuna namna selikavu anakokota mpira 🙌 na jinsi anavyo time press mchezaji anayepokea pass. Pia jinsi anavyoziba nafasi🙌. Anaelekea kuwa pro kilichobaki ni kupata squad kamili.Hilo nimeligundua usiku wa manane mkuu, Selikavu sitaki tena derby na wewe 😂
Hapo bado hajamchukua Oddo😃Mi leo nimejaa kwenye mfumo wake 😂
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoli😄 View attachment 3343145
Babu vip unakimbiaje mechi🤣🤣🤣Sitaki tena 😂
Mpka muongezee Ngo 😃😃Hatuchezi 😂
😃😃😃Mfumo wako ni Possession game mzee Quick counter tutasumbuana tuuMi leo nimejaa kwenye mfumo wake 😂
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoli😄 View attachment 3343145
We si umesema hutaki magoli hayo😃😃😃Mkuu huyo beki zake kaziweka karibu sana na kipa kama unasubiri mpaka usogee karibu ndo upige anakuwahi mapema, naweza fika ndani ya box lake hata mara 10 lakini kupiga sasa unakuta kashawahi na kupiga mashuti nje ya box bado najifunza 😂
Mbona naona kwenye dribble bado kabisa 😃😃😃Kuna namna selikavu anakokota mpira 🙌 na jinsi anavyo time press mchezaji anayepokea pass. Pia jinsi anavyoziba nafasi🙌. Anaelekea kuwa pro kilichobaki ni kupata squad kamili.
Upo vizuri kwa quick counterMbona naona kwenye dribble bado kabisa 😃😃😃
Maana napoteza mno mali
Oddo sema offensive tuu 😃😃angekuwa defensive kama kounde pale nyuma pangengojea Anchorman tuuHapo bado hajamchukua Oddo😃
Unampa defensive instructions safi tuOddo sema offensive tuu 😃😃angekuwa defensive kama kounde pale nyuma pangengojea Anchorman tuu