eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Sema sasa ishu inakuja hamna watu active sana humu itachezeka kweli? Tunaochati kila siku tushakaririana labda atengeneze group Whatsapp liitwe kama humu
Watu group za Whatsapp wanazikmbia mzee si unajua humu where we dare to talk openly 😃😃

Me mwenyewe baada ya kuwa verified nimepunguz kutema nyongo wasijewakanimdudelization bure...
 
Mkuu lala bhana 😂
20250523_014117.jpg

Selikavu
 
Back
Top Bottom