eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ivi mkuu LBC na QC kuna utofauti sana...

Maana nimekuta mjadala sehemu kuwa mtu anayecheza Quick Counter Defensive line inawai kubreak tofauti na LBC na LB ambapo defensive inabakia solid...???
Quick counter beki zinapanda juu karibu mstari wa kati ili kupress kuanzia mbele ukicheza quick counter inabidi uwe na mabeki wenye speed above 82 la sivyo utalamba mchanga divison 1 😃

LBC ukipoteza mali mabeki wanarudi nyuma faster kumaintain defensive shape. Formation ipi bora inategemea na mtu mfano mimi naenjoy ku defend kuliko ku attack ndio maana nina mabeki wengi na defensive mid kukiko forwards (kabla sijaanza kucheza 343)
 
Mbona unanishawashi nimchukue Gasperini sasa😃

Shukran mkuu 👏
 
Razorblade
20250523_195719.jpeg
 
Back
Top Bottom