Si unaona game zao zilivyokuwaπππHii mechi ya kwanza bana πππ₯ dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi ππ
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars ππ₯ nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo
Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu ππ
Huyo kazidi mkuu, walienda intergroup akapigika mwanzo wakawa wanamcheka πKama Denzila kila group yupo anatafuta helaπ€£π€£π€£
Mkuu umechanganga thread πNiko na who rules the world kali mno.
Unaona game zenu na Negan mnaoneana hurumaπ€£π€£π€£Niliiona nikakuonea huruma nikatoa mawinga π ningekushambulia sana leo sema tu nikaamua kubalance nisishambulie kwa pembeni nipitie hapo hapo kati kwa hizo beki zako
Na wewe anakufaa nani?NEGAN anamfaa zaidi
Najua Sana, Sasa kule hakuna watu ππMkuu umechanganga thread π
Si umuite comrade wako πNajua Sana, Sasa kule hakuna watu ππ
Nimecheka kifala πYule jamaa wa Fransisco totti italian Prince sema hayupo active tuuπ
Aliniwekea full blue siku nikimpiga ataelewa maana ya haram football πVita ni vita... π
Hii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession gameHaya kaxi ianzie hapa, kama mbwai mbwai tu π
Me nilienda na possession game nikafa nne first halfπ€£π€£π€£Wewe una balaa mkuu unakaa na mali kama Barcaππ
Mzee unachimbua ππππ sema mi game za kukamiana siziwezi labda ujae mwenyewe kwenye mifumo tuUnaona game zenu na Negan mnaoneana hurumaπ€£π€£π€£
Selikavu huyu tumpe nani?@yoyote nipeni ntakubariπ