Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Anachomaanaisha yeye anajua kumfunga Courtois ila kwa sababu na yeye ni kipa wake hasemi trick yake😃😃😂😂Toa tu mkuu tujue tunakusaidiaje.
Anachomaanaisha yeye anajua kumfunga Courtois ila kwa sababu na yeye ni kipa wake hasemi trick yake😃😃😂😂Toa tu mkuu tujue tunakusaidiaje.
Aina noma kakaWeit simu ipo chaji saa 4 hivi uhakika.
Kumbe akina mimi na Razorblade na wengine wanakuogopa😂
😃😃Alinikuta sipo form leo plus kichwa kinagonga silali muda mrefu siku hizi masaa mawili au matatu.. leo nataka nilale masaa nane saa tano nipo kitandani...Kumbe akina mimi na Razorblade na wengine wanakuogopa😂
Nikikwambia jifunze mpira mzuri hutaki, huenda ni vile wote humu inaonekana hatujawa vizuri kwenye hili game 😂Leo kuna jamaa nimecheza nae kanibonda mno nimelud Whatsapp kaniuliza kwa mpira wako kuna mtu unamfunga kwel 🤣🤣🤣ikabid nichek tuu😃😃
Mkuu mie bado najifunza game na wala sina haraka ya kutafuta matokeo uwanjani nachotaka nicheze mpira ambao nitaufurahia na hata mpinzani nikimfunga iwe hivyo kwake.Nimemuelewa, ila mbona hafungi sasa.
Ushawai ona Atletico wanavyocheza mkuu...😃😃me napenda mno..Nikikwambia jifunze mpira mzuri hutaki, huenda ni vile wote humu inaonekana hatujawa vizuri kwenye hili game 😂
Kitandani unaingia saa 5 ila usingizi kuja saa 7😂😃😃Alinikuta sipo form leo plus kichwa kinagonga silali muda mrefu siku hizi masaa mawili au matatu.. leo nataka nilale masaa nane saa tano nipo kitandani...
Kesho nikiamka tuu naamka nae....
Kanifanya nimegundua kuwa beckham hana One touch pass... Nilivyomtoa nikamuweka Bruno tumedraw game zote😃😃 maana kanifunga game zote kwa ajili ya maboko kati 😃😃kwa hiyo kesho nitamfunga ili kumuonesha kauli yake kuwa hakuwa sahihi
Now i stay humble
Aah kmmk😀 mwamba anapiga kwenye kichwa😀
Kuna watu wanajua hili game ukitaka kuamini fika divison 1 uone mechi zilivyo za moto😀Nikikwambia jifunze mpira mzuri hutaki, huenda ni vile wote humu inaonekana hatujawa vizuri kwenye hili game 😂
Leo kwa namna yoyote ile nawai kulalaKitandani unaingia saa 5 ila usingizi kuja saa 7😂
Acha tuu kaka😃😃😃Aah kmmk😀 mwamba anapiga kwenye kichwa😀
Kuna mtu nilikutana nae hukohuko dvn nilikula mkono saafi ila mpira wake niliupenda ndiyomaana namie nataka nicheze hivyo, itanichukua muda ila nitavumilia vipigo 😂Kuna watu wanajua hili game ukitaka kuamini fika divison 1 uone mechi zilivyo za moto😀
Za 2021 hizo card legend huyu 😃Nilienda friend na huyu jamaa jana aisee ni anakimbiza siyo poa, nilikuwa nachoka mie badala ya makatuni 😂
View attachment 3338609
Ila sikuwa mnyonge nilipata goli kwenye mechi zote tulizocheza, ila ameniongezea kitu cha muhimu sana(speed+accurate pass).
Ziada, hivi hizi chard ni za kipindi gani?
View attachment 3338611
Zinavutia sana aisee.
Ila kala 3-0 na hakupiga on target hata 1 😂Za 2021 hizo card legend huyu 😃
Mkongwe huyoNilienda friend na huyu jamaa jana aisee ni anakimbiza siyo poa, nilikuwa nachoka mie badala ya makatuni 😂
View attachment 3338609
Ila sikuwa mnyonge nilipata goli kwenye mechi zote tulizocheza, ila ameniongezea kitu cha muhimu sana(speed+accurate pass).
Ziada, hivi hizi chard ni za kipindi gani?
View attachment 3338611
Zinavutia sana aisee.