Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Huyo jamaa hajanijibu mpaka leo 😂We hichi kikosi hakifiki tuu😃😃
Huyo jamaa hajanijibu mpaka leo 😂We hichi kikosi hakifiki tuu😃😃
Hata siendi leo game ya presha sana hii😃Bora nifungwe kwenye game lakini nipate utulivu Moroco 😂
Hii imeendaHuyo jamaa hajanijibu mpaka leo 😂
Acha woga mkuu hizi za presha ndo nzuri maana ikitokea umeshinda vibe lake siyo la kawaida 😂Hata siendi leo game ya presha sana hii😃
Leo nipo hoi siku ilikuwa ndefu sana nisijefia banda umiza Kaka nitaangalia tu kwenye simuAcha woga mkuu hizi za presha ndo nzuri maana ikitokea umeshinda vibe lake siyo la kawaida 😂
Kwenye simu siwezi aisee maana naweza itupa 😂Leo nipo hoi siku ilikuwa ndefu sana nisijefia banda umiza Kaka nitaangalia tu kwenye simu
Ubaya Ubwela 😂😂😂Sawa kaka
Ile siku Ahoua anakosa goli Zanzibar dakika za jioni nilitupa simu chini sema haikupasuka😃😃Kwenye simu siwezi aisee maana naweza itupa 😂
Ile siku acha ibaki story tu 😂Ile siku Ahoua anakosa goli Zanzibar dakika za jioni nilitupa simu chini sema haikupasuka😃😃
Acha tu mkuu anyway tulivuka...Ile siku acha ibaki story tu 😂
Siwezi angalia mpira huo 😃😃😃natafuta wa kwenda kama upo twendeAngalia mpira wewe😀
Nipo live nashuhudia kifo cha Simba😀Siwezi angalia mpira huo 😃😃😃natafuta wa kwenda kama upo twende
😅😅mwenyeji niko morroco kaka 💛💚Sawaa kaka kama hautoenda kwenye game ya Simba tupande mida hiyo
Aseee😃😃Nipo live nashuhudia kifo cha Simba😀
😃😃😃Aya niende Whatsapp sasa nikatafute😅😅mwenyeji niko morroco kaka 💛💚