Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Mkuu mimi nataka kucheza mpira mzuri, nimefanya kusudi kujaribu huu mfumo na wale watoto wa afu 2 nineona inapatikana nafasi ya mimi kucheza 😂Wakati nahamia huku ulisemaje mkuu🤣🤣🤣
Mkuu mimi nataka kucheza mpira mzuri, nimefanya kusudi kujaribu huu mfumo na wale watoto wa afu 2 nineona inapatikana nafasi ya mimi kucheza 😂Wakati nahamia huku ulisemaje mkuu🤣🤣🤣
Funika kombe...😂Ngoja nikusaidie kufukua maoni yako😃😃
Niendelee kufurahia ushindi wangu wa mwisho mwisho nimeshaambiwa. Sitokuja kushinda tena😃😃😃
Unahama mno mifumo... Ukitulia huu tulionao hata ukufungwa mia😃😃Mkuu mimi nataka kucheza mpira mzuri, nimefanya kusudi kujaribu huu mfumo na wale watoto wa afu 2 nineona inapatikana nafasi ya mimi kucheza 😂
Hili unajua siwez liacha kaka kikapita hivi hivi 😃😃Funika kombe...😂
Ila nimeghairi naurudisha ule mfumo kiboko yako 😂Niendelee kufurahia ushindi wangu wa mwisho mwisho nimeshaambiwa. Sitokuja kushinda tena😃😃😃
Narudi kwenye 4-1-3-2 mkuu 😂Unahama mno mifumo... Ukitulia huu tulionao hata ukufungwa mia😃😃
😃😃😃 Aseee okay oky tutaonaIla nimeghairi naurudisha ule mfumo kiboko yako 😂
Ni kukaza vidole tu 😁Humu ndani kushakuwa kugumu...
Game zangu na Razorblade ni kukamiana mwanzo mwisho ukifungwa jiandae maneno😃😃😃
Game zidi ya NEGAN , Mill broh na Guilberto ukikaa hovyo umekula kuanzia mkono na kuendelea ukikaa vibaya unakula zako mikono miwili unatulia😃😃😃
Game limekuwa vita no Vita MulaView attachment 3336591
Uchawi ndio huu😂😂Umeanza kile chuma kilichotoka Jana😃😃
Dawa yake ushaijua naona unamfunga goli nyingi😀
Hakuna namna😃😃Ni kukaza vidole tu 😁
Kashaniambia kuanzia leo nisahau kushinda😃😃Dawa yake ushaijua naona unamfunga goli nyingi😀
Huyu akifungwa anaanza kupiga mashuti popote muhimu alenge goli tu 😂Dawa yake ushaijua naona unamfunga goli nyingi😀
Hakikisha unaenda train sitaki visingizio 😂Kashaniambia kuanzia leo nisahau kushinda😃😃
😃😃😃Kila mtu acheze anavyojua😃😃Huyu akifungwa anaanza kupiga mashuti popote muhimu alenge goli tu 😂
Kwa ufupi hataki kuwa mnyonge 😂
😃😃😃Train ya nini sijabadilisha formation mimi😃😃Hakikisha unaenda train sitaki visingizio 😂
Anhaa kumbe kwenda train mpaka ubadirishe formation, usijesema sikukuambia 😂😃😃😃Train ya nini sijabadilisha formation mimi😃😃
😃😃😃 Okay okay lini tunacheza nataka nischeze game mpaka hiyo siku🤣🤣🤣Anhaa kumbe kwenda train mpaka ubadirishe formation, usijesema sikukuambia 😂
We husumbui wakati wowote tu baridi 😂😃😃😃 Okay okay lini tunacheza nataka nischeze game mpaka hiyo siku🤣🤣🤣