Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Japo najitaid kukosa siku hiziWewe si kama Berkane tu 😂
Waje waje kwa mkapa hawaJamaa hawajashangilia kabisa, wanakumbuka kilichomtokea Al Masry 😂
Japo najitaid kukosa siku hiziWewe si kama Berkane tu 😂
Waje waje kwa mkapa hawaJamaa hawajashangilia kabisa, wanakumbuka kilichomtokea Al Masry 😂
Ndiyomaana nakwambia wewe kama Berkane tu mashuti mengi goli chache, ikitokea umeshinda 5 ujue umepiga mashuti 20+ 😂Japo najitaid kukosa siku hizi😃😃
Saa 10 jioni jua kaliiii, hawatoki.Japo najitaid kukosa siku hizi
Waje waje kwa mkapa hawa
😃😃😃Aseee mashuti 20🤣🤣🤣Ndiyomaana nakwambia wewe kama Berkane tu mashuti mengi goli chache, ikitokea umeshinda 5 ujue umepiga mashuti 20+ 😂
Ngoja tuone hili sakata litaishajeSaa 10 jioni jua kaliiii, hawatoki.
Ndo nimeingia mkuu, acha nilale basi 😂Razorblade lala mkuu🤣🤣
Ukikos usingizi tuenda tuu room nikufunge ukitoka hapo utalala tuu😃😃😃Ndo nimeingia mkuu, acha nilale basi 😂
Macho mazito hapa mkuu, acha nilale tu 😂Ukikos usingizi tuenda tuu room nikufunge ukitoka hapo utalala tuu😃😃😃
Me mwenyewe acha nilale sasa😃😃nilikuwa PUBG For HoursMacho mazito hapa mkuu, acha nilale tu 😂
Me hapo namtaka pedri tuu 😃😃Nilihisi ipo siku huyu mtoto(Yamal) watampa hii skill(Blitz Curler)
View attachment 3338142
Twende ukajiulize tena na leo😃😃Nipo, nashangaa jana nilifungwaje💔🚮