Hapo nimechomesha mimi mwenyewe wala sio kipa.Kipa wangu au wako😃😃
View attachment 3337583
😃😃😃 Kanisave sana leoHapo nimechomesha mimi mwenyewe wala sio kipa.
Nasema kipa wako maana shots zote anadaka.
Simba hawezi kufa kizembe 😂Nipo live nashuhudia kifo cha Simba😀
Dah🤣
Kuna mipira ukipiga Courtois anapoteana ila sitoi code maana ndo kipa wangu 😂Hapo nimechomesha mimi mwenyewe wala sio kipa.
Nasema kipa wako maana shots zote anadaka.
Wazee wa kuvizia counter😀
Hawa jamaa siyo level yetu kabisa ila hawatamani mechi ichezwe kwa Mkapa 😂Dah🤣
Mulemule yaani nilikuwa naangalia mpira huku nacheka kwa kumkumbuka mpinzani wangu Selikavu 😂Wazee wa kuvizia counter😀
Figusu tuuHawa jamaa siyo level yetu kabisa ila hawatamani mechi ichezwe kwa Mkapa 😂
Vyovyote bila code au na code me namfungaKuna mipira ukipiga Courtois anapoteana ila sitoi code maana ndo kipa wangu 😂
😃😃😃Mtajua wenyewe na mpira mzuri kikubwa matokeo😃😃Wazee wa kuvizia counter😀
Wewe si kama Berkane tu 😂Vyovyote bila code au na code me namfunga
Jamaa hawajashangilia kabisa, wanakumbuka kilichomtokea Al Masry 😂😃😃Fadlu davis anitafute nimpe madini 😃😃😃
Japo najitaid kukosa siku hizi😃😃Wewe si kama Berkane tu 😂