Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,784
Hapana anapanga mali.. vizuri tuu si umeona mechi zote kanioutplay kanizid kila kituSasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly š¤§
Hapana anapanga mali.. vizuri tuu si umeona mechi zote kanioutplay kanizid kila kituSasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly š¤§
Duh nitajaribu nae nione hiyo playstyle yake šHapana anapanga mali.. vizuri tuu si umeona mechi zote kanioutplay kanizid kila kitu
Friend match na ultra defensive mbona ngumu kumeza šUnaijua full blue wewe aka ultra Defensive ndo iliwashwa mzee me ningepita kwenda wapšš
Hatuchezišš
Kuwasha ni nzuri sema unaonekana uko weak..Duh nitajaribu nae nione hiyo playstyle yake š
Kaka mpaka nimetumia possession game ndo nimeweza kubeat hiyo defensive alteast.. sio powššFriend match na ultra defensive mbona ngumu kumeza š
Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solidSasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly š¤§
Kuna msela wangu huwa nacheza nae ana mchezo kama huo, yeye kwenye kukaba mbovu ko anaingia na defence bar 1, beki na DMF 2 wale watatu wa mbele ni Mbappe, Villa na Vini šSipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chumaš
Naomba tuguse night mkuu .. au vipi?Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chumaš
Wanataka kila mechi uwe serious ili usikubali kudondosha alama, kunazidi kuwa kugumu huko.Hatuchezišš
Jipe muda wa kujiimarisha kwenye defense, ukiitumia hiyo sana huo udhaifu utakomaa zaidi.Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chumaš
Uhakika hivi user name lako ipi?Naomba tuguse night mkuu .. au vipi?
heisGilbertoUhakika hivi user name lako ipi?
Sasa kati yangu na wewe nani hayupo vzr kwenye kukaba šššachen utani bhanaššSipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chumaš
Afu kuna sisi wabovu kote koteššKuna msela wangu huwa nacheza nae ana mchezo kama huo, yeye kwenye kukaba mbovu ko anaingia na defence bar 1, beki na DMF 2 wale watatu wa mbele ni Mbappe, Villa na Vini š
Jamaa huwa ananifunga magoli mazuri mno mbovu kwenye defensive lakini akishambulia sasa mzuri mno kufunga.
Iv hakuna anayejua kustream game TikTok ššNaomba tuguse night mkuu .. au vipi?
Division sichez tena mpaka nijione nipo kamili na nikifika division one sitocheza tena kabisa...Wanataka kila mechi uwe serious ili usikubali kudondosha alama, kunazidi kuwa kugumu huko.
Haha, hamna mbovu kote kaka unaeza ukawa na u bora mahali tu.Afu kuna sisi wabovu kote kotešš
Kucheza Aviatoršššnapiga ndege mnoHaha, hamna mbovu kote kaka unaeza ukawa na u bora mahali tu.