Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Yeah bora hvyo kuliko hii ya bahati nasibuPack ya Messi na Neymar pamoja na Torres zinakaribia kuisha muda wake, nasubiria pack zitakazoletwa baada ya hizo.
Bak nayo uliyonayo usijiroge kuchangeMbona hiyo card ya Kane ninayo kitambo tu.
Mwamba anapiga kazi bhana😃😃basi tu magoli ya pvp et hawahesabu... Sijui ila me ananipondea sana watu alafu ana speed kwa Qc ni mzuri mno..Vipi Owen ana maajabu gani kabla sijafanya maamuzi. Kuna jamaa nimekutana nae ana Owen kwenye league hajapiga shoot hata moja😅
Me amenchosha sasa😃😃Anakaba hatari anazingua sana🙌🏿🚮
Mpe experience ulikuwa naye jana😃😃😃Owen yuko vizuri mkuu labda jamaa tu hajamtumia vizuri.
Me hata wa POTW wa 97 kwangu angeanza aseee except Rodri tuu wa standard...Selikavu nimekagua kikosi changu vizuri nimekuta Anchor Man wanne, wawili wanafika 98, mmoja anafika 94 na huyo Rodri 99.
Hizi card walizoleta hazina maajabu.Bak nayo uliyonayo usijiroge kuchange
Ndiyomaana nimetoa maoni 😂Mpe experience ulikuwa naye jana😃😃😃
Bora wangetulia tuu🥳😃Hizi card walizoleta hazina maajabu.
Wa bure? 🤔Umechoma 1300 kwa wachezaji wa bure?
Uwe unapita kuangalia kule kwenye nominating contract.Me hata wa POTW wa 97 kwangu angeanza aseee except Rodri tuu wa standard...
Nahitaji Anchorman..
Nikipata wawili pale kati wakasimama😃😃😃 sijui mtapitia wapi...
Me sitomweka na Orchestor sijui amna... Ni kazi kazi Anchorman wawili kati wenye through passing basi
Kule nishapita kakaUwe unapita kuangalia kule kwenye nominating contract.
Nimekutana na mtu ana Batistuta bhana halafu anacheza kama wewe akilitazama goli tu anatandika shuti 😂Mwamba anapiga kazi bhana😃😃basi tu magoli ya pvp et hawahesabu... Sijui ila me ananipondea sana watu alafu ana speed kwa Qc ni mzuri mno..
Me ni mwendo wa through tuu..
Owen hana physical contact kwahiyo hawezi kukaa na mabeki eti atumie nguvu hapo utamshinda... We ni counter wakimbizane utamwona mzuri
Mmoja nimemtolea huko.Kule nishapita kaka
Nimeshaamua namchukua BatistutaNimekutana na mtu ana Batistuta bhana halafu anacheza kama wewe akilitazama goli tu anatandika shuti 😂
Angalia kikosi chako kinamapungufu wapi siyo unajaza strikers.Nimeshaamua namchukua Batistuta
View attachment 3335559
Beki yule destroyer hamna kazi😃😃nilikutana na mtu anaye torres tu kamtoa ulimiAngalia kikosi chako kinamapungufu wapi siyo unajaza strikers.
Zile beki hamna kitu pale.Beki yule destroyer hamna kazi😃😃nilikutana na mtu anaye torres tu kamtoa ulimi
Ndo maana bora nichukue Batistuta nikimuacha huyo basi nakataZile beki hamna kitu pale.