Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Hahaha, jau hiyo sijawahi kujua hata wanavyofanya.Iv hakuna anayejua kustream game TikTok 😃😃
Hahaha, jau hiyo sijawahi kujua hata wanavyofanya.Iv hakuna anayejua kustream game TikTok 😃😃
Nipo road hapa. Labda mpaka nifike geto mkuuKucheza Aviator😃😃😃napiga ndege mno
Upo tukaguse??
Nipo road hapa. Labda mpaka nifike geto mkuu
Hizo ni Rank kaka kuonyesha una muda gani Jf...Hivi kaka Selikavu Nini maana ya haya maneno chini ya Username zetu 😄
JF-expert member, senior member? Mana mi nilikuwa new member saivi nashangaa nimekuwa senior member afu hata sizielewi maana zake.
Ah hapo sawa. Nimekuelewa kaka mkubwaHizo ni Rank kaka kuonyesha una muda gani Jf...
Rank inapanda kutokana na idadi ya comment unazotoa na likes au reaction unazopata... Ambazo zinakuongezea point
Ukifika points 2000 unakuwa Jf Expert member japo kuna wengine hata point 1000 unakuwa Jf Expert member
Sisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.Iv hakuna anayejua kustream game TikTok 😃😃
Nafikiria kubadilisha simu. Nipate simu ambaye naweza kucheza kwenye high quality bila kipengeleSisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.
Hapo utaanza kulag wewe na simu yako. Hivi nyinyi mnatumia simu gani?
Sasa wewe unatumia Samsung A05 unalalamika je mimi ambaye game nimeweka kwenye OPPO A15(Copy)😂Sisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.
Hapo utaanza kulag wewe na simu yako. Hivi nyinyi mnatumia simu gani?
😃😃😃😃Nipo na kitunzia line sio simuSisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.
Hapo utaanza kulag wewe na simu yako. Hivi nyinyi mnatumia simu gani?
Twende me nataka nitest possession game😃😃
Si ulikuwa na 3105 kaka kimetokea nini😃😃
🥴Twende kaka
IngiaSi ulikuwa na 3105 kaka kimetokea nini😃😃
Leo sina mpango wa kucheza na wewe labda akosekane mtu, tukiingia room tunacheza mpaka tunajisahau kama kuna wengine wanataka friend match pia 😂Twende me nataka nitest possession game😃😃
Me nipo kaka online mbona🥴
Mi huwa kuna baadhi ya wachezaji nawatoa nawapeleka reserve ila kuna huyu wakumuita Lewandorsk na booster lake linapanda na kushuka 😂Si ulikuwa na 3105 kaka kimetokea nini😃😃