Mill broh
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 346
- 816
Owen mbona kama wa mchongo at least torres ana nguvuNdo maana bora nichukue Batistuta nikimuacha huyo basi nakata
Owen mbona kama wa mchongo at least torres ana nguvuNdo maana bora nichukue Batistuta nikimuacha huyo basi nakata
Hahaha wapi hizi game za mwisho wachezaji wazito utafikiri wachezaji wa simba kesho😅Mill broh mkuu nimepigiwa simu hapa ndo maana umeona nimetoka...
Mzee umejua kuninyoosha 🙌🙌🙌hiyo full blue mzee kutoboa ni kazi nimekuja kupata solution game ya za mwisho ndo maana nikashinda tena😃
Hapana kaka umewasha full blue ndo maana hawezi onekana...Owen mbona kama wa mchongo at least torres ana nguvu
Wachezaji wangu au wako???😃😃😃Hahaha wapi hizi game za mwisho wachezaji wazito utafikiri wachezaji wa simba kesho😅
Sema physical contact inasaidia sana. Owen anakuwa vizuri mpaka asiguswe na bekiHapana kaka umewasha full blue ndo maana hawezi onekana...
Game ya kwanza ambayo ulicheza bila full blue kakufunga na kakusumbua ila hizi zilizofata hapo utamuonea tuu hana physical contact maana muda wote yupo na mabeki...hapati nafasi ikabid niwe namtumia tuu torres
Yeah ni mzuri kwa Quick Counter semaa sasa full blue mzee hiyo Quick Counter hutoboi😃😃 mabeki wanakuwa kwenye position kila mudaSema physical contact inasaidia sana. Owen anakuwa vizuri mpaka asiguswe na beki
Pita nae.Ndo maana bora nichukue Batistuta nikimuacha huyo basi nakata
Mbona unaihusisha Simba na vitu vya kipuuzi mkuu 😂Hahaha wapi hizi game za mwisho wachezaji wazito utafikiri wachezaji wa simba kesho😅
Kama unae Drogba muweke acheze na Owen nahisi itakuwa pacha nzuri, nafikiria kufanya hivyo.Hapana kaka umewasha full blue ndo maana hawezi onekana...
Game ya kwanza ambayo ulicheza bila full blue kakufunga na kakusumbua ila hizi zilizofata hapo utamuonea tuu hana physical contact maana muda wote yupo na mabeki...hapati nafasi ikabid niwe namtumia tuu torres
Ngoja tutaonaPita nae.
Hizo mechi 2 sasa shuti 1 tu na shuti lenyewe ni off target 😂Leo meingia tuu kwenye game asubuhi nikapata invite ya Mill broh nikaona okay hii ndo nzuri kichwa kimetulia nguvu ipo acha nikacheza mpira...
Game ya kwanza nikambahatishaView attachment 3335916
Kilichofata baada ya hapo ni huzuniView attachment 3335918View attachment 3335920View attachment 3335921
Baada ya kufungwa Nne nikaona hapa nisipojiongeza nitakula week nikaona solution ya haraka haraka nibadili nitoke kucheza Quick Counter niende possession maana game mzee anawasha full blue game ikianza na mnajua mpira wangu ni wa kuvizia😃😃
Atleast hii ikanilipa nikashinda game mojaView attachment 3335927
Ya pili mwishoni nilipigiwa simu ila nilikuwa naongoza mbili bila
View attachment 3335923
Mzee Mill broh nionee huruma basi uwe unawasha hata moja inanitosha😃😃😃
Drogba siwez kumtumia mzee ninaye yupo reserveKama unae Drogba muweke acheze na Owen nahisi itakuwa pacha nzuri, nafikiria kufanya hivyo.
Unaijua full blue wewe aka ultra Defensive ndo iliwashwa mzee me ningepita kwenda wap😃😃Hizo mechi 2 sasa shuti 1 tu na shuti lenyewe ni off target 😂
Kama nisipofanikiwa kumpata mmoja kati ya Owen na Batistuta kwenye free spin basi nitapita na Owen kwenye selection contract halafu nitamsimamisha na Drogba maana nikimtazama Drogba namuona Batistuta mtupu.Ngoja tutaona
Kama Drogba unamshindwa Batistuta utamuweza mkuu?Drogba siwez kumtumia mzee ninaye yupo reserve
Itakuwa combo nzuri sanaKama nisipofanikiwa kumpata mmoja kati ya Owen na Batistuta kwenye free spin basi nitapita na Owen kwenye selection contract halafu nitamsimamisha na Drogba maana nikimtazama Drogba namuona Batistuta mtupu.
Yaah kwa wepesi wa Owen atakuwa anasaidiana na SS kumlisha Drogba.Itakuwa combo nzuri sana
Sasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly 🤧Leo meingia tuu kwenye game asubuhi nikapata invite ya Mill broh nikaona okay hii ndo nzuri kichwa kimetulia nguvu ipo acha nikacheza mpira...