Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,718
Nimechoma 1300 coin bila bilaa
Nimechoma 1300 coin bila bilaa
Hatari tupu 😂Nimechoma 1300 coin bila bilaa
Hii card jau sasa😃nilishangilia nimepata pacha wa Pedri kumbe hola
Umechoma 1300 kwa wachezaji wa bure?Nimechoma 1300 coin bila bilaa
Hongera sana mkuu 😃Nimekaa na stress na vicoins vyangu 200. Nikasema ngoja nijaribu bahati ikatiki
View attachment 3334749
Baada ya kunikazia mda mrefu leo wameamua wanipooze kidogo😅Hongera sana mkuu 😃
Huyu mbona mchovu sana 😂Hii card jau sasa😃nilishangilia nimepata pacha wa Pedri kumbe holaView attachment 3334746
Umechoma coins na umefaidika.Nimekaa na stress na vicoins vyangu 200. Nikasema ngoja nijaribu bahati ikatiki
View attachment 3334749
Mie sihangaiki najua watanipa goroka tu 😂Baada ya kunikazia mda mrefu leo wameamua wanipooze kidogo😅
Hawa jamaaa wanajua kucheza na akili zetu...Baada ya kunikazia mda mrefu leo wameamua wanipooze kidogo😅
Yan nilishangilia maana nikikumbuka Musiala wako anapiga sana kazi...Huyu mbona mchovu sana 😂
Pack ya Messi na Neymar pamoja na Torres zinakaribia kuisha muda wake, nasubiria pack zitakazoletwa baada ya hizo.Hawa jamaaa wanajua kucheza na akili zetu...
Me saivi nimekaza... Nangojea tuu squad nzima ya kocha atakayekuja na booster mbili
Mbona hiyo card ya Kane ninayo kitambo tu.Yan nilishangilia maana nikikumbuka Musiala wako anapiga sana kazi...
Sema sio mbaya nimechukua Mac allister wa nominating character
Card ya kane ya pale usijloge ukaiacha ile ya nominating character tuliyopewa mwezi ulioisha
Kane wa nominating ana one touch pass pamoja na through passing huyu hola
Vipi Owen ana maajabu gani kabla sijafanya maamuzi. Kuna jamaa nimekutana nae ana Owen kwenye league hajapiga shoot hata moja😅Yan nilishangilia maana nikikumbuka Musiala wako anapiga sana kazi...
Sema sio mbaya nimechukua Mac allister wa nominating character
Card ya kane ya pale usijloge ukaiacha ile ya nominating character tuliyopewa mwezi ulioisha
Kane wa nominating ana one touch pass pamoja na through passing huyu hola
Kwa gundu la account yangu kama nimempata. Jaribu unaweza ukampata😥Mie sihangaiki najua watanipa goroka tu 😂
Owen yuko vizuri mkuu labda jamaa tu hajamtumia vizuri.Vipi Owen ana maajabu gani kabla sijafanya maamuzi. Kuna jamaa nimekutana nae ana Owen kwenye league hajapiga shoot hata moja😅
Mkuu account yangu ndo yaleyale tu.Kwa gundu la account yangu kama nimempata. Jaribu unaweza ukampata😥
Mutu ya Moroco ile kazikazi.Anakaba hatari anazingua sana🙌🏿🚮