Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Komaa na Owen, kataa vishawishi 😂Mna ushawishi hadi naanza ku question choice yangu ya Owen😃
Komaa na Owen, kataa vishawishi 😂Mna ushawishi hadi naanza ku question choice yangu ya Owen😃
Hayo maroboti yanafata muongozo na muongozo wa kwanza ni settings zako mwenyewe sasa we jichanganye 😂Kwan mchezaji anajuaje hapa nachezea QC🤣🤣🤣
Huyu bado hajui anataka nini 😂Mbona ulishahama mkuu baada ya kuona kuwa Batistuta ana phenomenal finishing
Mie huwa naenda kutazama video kwa Mednasah(YouTube) kabla sijafanya uamuzi.Aisee kweli nimemjaribu drogba wa my league jamaa ni mzito kinoma alafu naambiwa anafanana na Batistuta.
Mpaka sahizi sijapata uchaguzi bado
me mwenyewe naomba hiloYaani ni hatari nabadilika kama kinyonga 😃. Solution Konami wanionee huruma wanipe mmoja kabla ya spin kuisha
Batistuta anaweza kushinda kwa mguu na kichwa vizuri tu.me mwenyewe naomba hilo
Naona Batistuta wana mkataa kwenye mfumo wangu😂ila mwaka wa kuforce atakaa tuView attachment 3332822
😀😀😎 strength na weakness zao
Me naitaka hyo phenomenal finishing basi 😃😃napiga any angleBatistuta anaweza kushinda kwa mguu na kichwa vizuri tu.
Kuna video jamaa mmoja amepost reddit anasema alikuwa anacheza mechi ya dvn alikuwa anaongozwa 3-0 ila kwa msaada wa Batistuta akapiga comeback na goli zote kashinda yeye na playstyle yake ni QC.Naona Batistuta wana mkataa kwenye mfumo wangu😂ila mwaka wa kuforce atakaa tu
Kwenye selection Owen anipitie mbali labda wanipe kwenye free spin 😂Me naitaka hyo phenomenal finishing basi 😃😃napiga any angle
Namna unavyomwangalia Owen kwenye selectionKwenye selection Owen anipitie mbali labda wanipe kwenye free spin 😂
Mie na Batistuta tu, halafu kwanza wachezaji wenyewe wa bure yanini kuumiza kichwa 😂
😅😅yani uiachie 105 hivi hiviKuna video jamaa mmoja amepost reddit anasema alikuwa anacheza mechi ya dvn alikuwa anaongozwa 3-0 ila kwa msaada wa Batistuta akapiga comeback na goli zote kashinda yeye na playstyle yake ni QC.
Hiyo ni rate tu mkuu haina athari kubwa 😂😅😅yani uiachie 105 hivi hivi
Semeni moja basi😃😃😃me nachukua notes mjueWakuu nimekuja na majibu ya hii selection nimechoma bando huko YouTube kwaajili yao 😂.
Kama una David Villa(104) haina haja ya kumchagua Owen na kama una Fernando Torres yule wa coins 500 basi haina haja ya kumchagua Batistuta kwa sababu aina ya uchezaji wao inafanana.
Nimebadiri gia angani, Torres ninae kwahiyo naondoka na Owen 😂
View attachment 3332973
We chukua notes vizuri 😂Semeni moja basi😃😃😃me nachukua notes mjue