Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Huu me nakussuport utashika vizuri kwa sababu upp balanced unakupa watu wengi kushambulia na pia katikati wapo..Mie natapatapa tu sasahivi mpaka nikae sawa nishapigika sana 😂
Pia huu haujapishana sana na 4-3-1-2 kwa hiyo hautokusumbua sana... Hapo ni kutafuta mbdala wa Messi tuu