Nimeshindwa tumia ule mfumo aisee RMF na LMF kwenye ule mfumo nimeshindwa watumia.Master gan tena kaka 😃 me nipo na game masaa 24 kaka utanikuta huko
Niliona invite yako ila nilishindwa ingia.Guilberto kaka simu imebakiza 3% kaka sikuona hili
Twenzao 🥴Nimeshindwa tumia ule mfumo aisee RMF na LMF kwenye ule mfumo nimeshindwa watumia.
View attachment 3332806
Sasahivi naenda na huu.
Sijatulia mkuu, baadae itapendeza.Twenzao 🥴
Unyama kaka.Sijatulia mkuu, baadae itapendeza.
Kaza tu, na labda unaweza ukamuotea kwenye zile free spinNatamani selection ya batistuta lakini mda wa kumaliza objective ni kipengele😅😅
Na ni nyingi 😂Natamani selection ya batistuta lakini mda wa kumaliza objective ni kipengele😅😅
Eeh huu sawaa kaka nakubalii jana jamaa kanifunga mno na huu😃😃Nimeshindwa tumia ule mfumo aisee RMF na LMF kwenye ule mfumo nimeshindwa watumia.
View attachment 3332806
Sasahivi naenda na huu.
Nilienda na GuilbertoNiliona invite yako ila nilishindwa ingia.
Nimekutana nae kwa Guilberto asee mwamba anaenda bhana😃😃😃Natamani selection ya batistuta lakini mda wa kumaliza objective ni kipengele😅😅
Mzuri mno.. ila wanasema ni mbovu kwa Quick Counter ndo mana najaribu kumtumia kwenye possesion ball ndo anakuwa mzuri zaidi.Nimekutana nae kwa Guilberto asee mwamba anaenda bhana😃😃😃
Mbovu kwa Quick counter kwann tena??Mzuri mno.. ila wanasema ni mbovu kwa Quick Counter ndo mana najaribu kumtumia kwenye possesion ball ndo anakuwa mzuri zaidi.
Angali hiyo posti hapo, nikukutana nayo kwenye group moja huku tsuppMbovu kwa Quick counter kwann tena??
Mie natapatapa tu sasahivi mpaka nikae sawa nishapigika sana 😂Eeh huu sawaa kaka nakubalii jana jamaa kanifunga mno na huu😃😃
Duh... Nataka hiyo phenomenal finishing kwa hali na mali😃😃View attachment 3332822
😀😀😎 strength na weakness zao