Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Huyo ni movie tuu😃😃magemu hamna kaziMkuu kumbe nawe pia ni mwanachama, nilijua unatupa madini ya series tu kule jukwaani.
Huyo ni movie tuu😃😃magemu hamna kaziMkuu kumbe nawe pia ni mwanachama, nilijua unatupa madini ya series tu kule jukwaani.
Una maisha kaka 😃😃Niki amka saa 11 naendelea kucheza league, baadae nacheki series.
saa 10 kucheza karata, jioni narejea home kula + games and kulala
Najua acha nitambe kwa sasa😃😃nikifungwa nakimbia jukwaa kama mwezi hivi 😃😃😃Kwamba muosha huoshwa 😂
Sema unajua kunipa moto sana ila siku ukija kujaa wewe acha tu ngoja nikae kimya... 😂
Kama upo twende kakaNimekutumia invite nikaona huingii room nikakuangalia tena nakukuta uko kwenye mechi.
NB: Nahitaji mechi nyingi na wewe za kirafiki ili nirejee (siyo za ushindani 😂), nipo vibaya sana.
Shurakn kaka japo nilikataa kaul ya kuwa nimeinprove naona bado kuna vitu sinaSema jana nimependa sana unavyocheza mkuu sasahivi pira aviator halipo tena 😂, unatuliza mali chini tupishane.
Umeimprove sana mkuu.
Uzuri Edo kissy amenithibitishia kile nilichokuwa nasema bado sijaweza chezesha vizuri hizo RMF na LMF mwanzo nilikuwa nabebwa sana na CAM ambaye alikuwa anafanya kazi kuliko hao (RMF na LMF).Najua acha nitambe kwa sasa😃😃nikifungwa nakimbia jukwaa kama mwezi hivi 😃😃😃
Maisha gani akati mi ni raisi wa ma jobless pro maxUna maisha kaka 😃😃
Hizo goli 6 nimepigwa nikiwa nashughulika na mengine.Labda leo upo form huwezi jua kaka
Nimeona matokeo
Kuna mtu nimecheza nae alikuwa na CF,CF na SS kwa jinsi nilivyokuww namsumbua alibadili akaja kwenye 4222Uzuri Edo kissy amenithibitishia kile nilichokuwa nasema bado sijaweza chezesha vizuri hizo RMF na LMF mwanzo nilikuwa nabebwa sana na CAM ambaye alikuwa anafanya kazi kuliko hao (RMF na LMF).
Hayo hayo kakaMaisha gani akati mi ni raisi wa ma jobless pro max
Yeah umelielezea hilo kaka 😃Hizo goli 6 nimepigwa nikiwa nashughulika na mengine.
Alikuwa anatumia mfumo gani?Kuna mtu nimecheza nae alikuwa na CF,CF na SS kwa jinsi nilivyokuww namsumbua alibadili akaja kwenye 4222
Alikuwa anacheza kwanza possession game...Alikuwa anatumia mfumo gani?
Ugonjwa wangu wa kutoa maboko umerudi.
Huyu kama alikuwa anataka kuutawala mchezo bora angetumia 4-3-3 ya 2CF's na 1SS halafu hapo kati angekuwa na 2CMF's na 1DMF.Alikuwa anacheza kwanza possession game...
Mfumo ulikuwa ni 4-2-1-3
Nimetoka kucheza na mtu anatumia LBC mbele kaweka hvyo kati kaweka AMF mmoja CMF na DMF ni balaa nimekula vipigo hapa sio pow😃😃😃Huyu kama alikuwa anataka kuutawala mchezo bora angetumia 4-3-3 ya 2CF's na 1SS halafu hapo kati angekuwa na 2CMF's na 1DMF.