Sawaa kakaSiyo mabadiriko makubwa, nimemsogeza AMF juu kidogo acheze kama SS.
Sawaa kakaMida yetu ile itapendeza.
Utapita na owen😃Ngoja nimjaribu Owen wa my league nione anachezaje kama ata fit timu yangu nimsajiliView attachment 3331043
Nahisi nitamchukuaUtapita na owen😃
Moto tuHumu tu 😂
Sawa mkuuTutaenda na leo tena nione kama nitawazibiti
Mkuu kwenye kuchezesha DMF mmoja orchestrator ndo hovyo kabisa.Ngoja tuone ila ukitaka kutumia dmf mmoja inafaa Anchorman au orchestrator. Box to box anazurura sana kuna shimo hapo kati kubwa😃 kumbuka hao LMF na RMF wanapanda wanamuacha Amrabat peke yake na
Mzee wa box to box😃 najuta kumchua Kolo Muani kila siku ana D form😃Mkuu kwenye kuchezesha DMF mmoja orchestrator ndo hovyo kabisa.
Mtu anaetumia possession game akiwa na DMF orchestrator haitakuwa na shida ila kwa QC na LBC B2B au anchorman ndo wanafaa.
Napenda kutumia B2B sababu anapanda na kushuka kwa wakati bila kuchoka.
Mechi kadhaa nilizocheza na Selikavu alimuona Amrabat juu nikiwa nashambulia na chini akiwa ananishambulia.
Ulijiamini nini ukamchukua Kolo Muani kaka, si bora yule Hang We Chan kama sijakosea😀Mzee wa box to box😃 najuta kumchua Kolo Muani kila siku ana D form😃
Kolo alikuwa ba Phenomenal finishingUlijiamini nini ukamchukua Kolo Muani kaka, si bora yule Hang We Chan kama sijakosea😀
Nilitaka nimchukue Hwang dakika za mwisho nikapiga U turn ile phenomenal finishing ilinivutiaUlijiamini nini ukamchukua Kolo Muani kaka, si bora yule Hang We Chan kama sijakosea😀
Komaa nae tu 😂Mzee wa box to box😃 najuta kumchua Kolo Muani kila siku ana D form😃
Anakufinish wewe sasa 😂Nilitaka nimchukue Hwang dakika za mwisho nikapiga U turn ile phenomenal finishing ilinivutia
Baasi kimekuramba 😅.. na pale selection contract ya saivi usije ukakosea tenaNilitaka nimchukue Hwang dakika za mwisho nikapiga U turn ile phenomenal finishing ilinivutia
Chaguo lake la kwanza ni Owen.Baasi kimekuramba 😅.. na pale selection contract ya saivi usije ukakosea tena
Mzuri mno yule Acceleration 98 anachomoka mno, afu finishing ndo 🔥Chaguo lake la kwanza ni Owen.
Unaumia nini sasa??Anakufinish wewe sasa 😂
Mie nikikutana na mtu ana Bastoni huwa naumia roho 😂
Mie nitapita na Batistuta tu.Mzuri mno yule Acceleration 98 anachomoka mno, afu finishing ndo 🔥