Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Hii ni faida ya kuwa na DGK πHii mechi umeshinda duh, man of the match Cortois wako saves 10π₯Άπ₯View attachment 3330411
Courtois mwamba sana.
Hii mbaya ikitokea wameokoa halafu mbele yupo target man mwenye speed basi hesabu maumivu.Kwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.
Matokeo bila picha ni uzushi.Huyo nimecheza nae nimeshinda mechi ya kwanza 3.2 ya pili sasa kanifunga 6.0 afu akasepa π
Kwa sababu pass accuracy yako kwenye final third ni top notch π«‘ au unatumia WiFi ya voda inaonekana kama hutumii smart assist basi una strong Internet connection kuweza kushikilia mpira na kupiga pass za haraka vile.Hapana. Kwa nini kaka??
Haya hapa mkuu π π₯Matokeo bila picha ni uzushi.
Weka hizo 3-2 na 6-0 tuzione π
Hamna kaka vipasi pasi tu vile nimezoea. Natumia voda, ila bando la kawaida tu.Kwa sababu pass accuracy yako kwenye final third ni top notch π«‘ au unatumia WiFi ya voda inaonekana kama hutumii smart assist basi una strong Internet connection kuweza kushikilia mpira na kupiga pass za haraka vile.
UmemjaribuπSiyo ubahili tatizo hakidhi vigezo vyangu π
Ninae Pedriπππukikutana nae lazima ulambe nyasiB2B wanatembea eneo kubwa na hawachoki.
Haha, ile natumia mara chache sana kaka. Sema uzuri magoli yake yanaonekana tu ile power gauge inakuwa kama inajiboost yenyewe..Embu angalia vizuri π me mwenyewe nilihisi unatumia
Panga ratibaπHuyu namtaka π
Yameonekana β
Sawaa kakaUwe unaweka zonal au man to man kwa kiasi inasaidia.
Kamtolea penati moja hapo nikashinda mieCourtois mwamba sana.
Me nikahisi sababu ya wingers alionao...Kwa sababu pass accuracy yako kwenye final third ni top notch π«‘ au unatumia WiFi ya voda inaonekana kama hutumii smart assist basi una strong Internet connection kuweza kushikilia mpira na kupiga pass za haraka vile.
Kule nimeganda point 1300 sipandi 1400Haha, ile natumia mara chache sana kaka. Sema uzuri magoli yake yanaonekana tu ile power gauge inakuwa kama inajiboost yenyewe..
Mara nyingi natumia kule efb league ya AI π π mana kule kukosa goli ni makosa makubwa AI hazina makosa ya kibinadamu kama sisi.
Hamna anajua kukaa na mali sana kuna mechi kapiga pass mia 2πMe nikahisi sababu ya wingers alionao...
Me kanisumbua mno hajaniacha nikae shape ya kukaba hata mara mojaπHamna anajua kukaa na mali sana kuna mechi kapiga pass mia 2π
Ndo strength yangu.. ukininyima kukaa na mpira umeshinda π kama ile mechi ya pili uliwon kila kona.Hamna anajua kukaa na mali sana kuna mechi kapiga pass mia 2π
Zile winga mikimbio tu kina ViniMe nikahisi sababu ya wingers alionao...
Tutaenda na leo tena nione kama nitawazibitiZile winga mikimbio tu kina Vini