NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Hapa tena nitaingia baade jioni kama utakuwepo. Malizana kwanza na master selikavu
Hapa tena nitaingia baade jioni kama utakuwepo. Malizana kwanza na master selikavu
Poa, huyu master nishajua button anazotumia sana ngoja nitafute namna ya kumfunga.Hapa tena nitaingia baade jioni kama utakuwepo. Malizana kwanza na master selikavu
😃😃😃 Duh... Nilikuwa silijui hiloHamna kuna namna unacheza na mimi ninavyokaba vinakinzana tactic yangu haitanyi kazi kwako.
Umejua kuninyoosha leo 😂.Razorblade simu ina tano kaka game hatutomaliza na mimi nilinogewa sikuangalia chaji kaka
Huyu asinunue account maana akinunua tutamkimbia humu 😃Umejua kuninyoosha leo 😂.
Okay kauli mbiu ni matokeo bila picha ni Uzushi😃😃Matokeo bila picha ni uzushi 😂.
Duh umembutua 😃Okay kauli mbiu ni matokeo bila picha ni Uzushi😃😃
Siku ya jana nilianza na Mr Devil
Tokeo ni kama hili hapaView attachment 3324421
Leo nikacheza na Master of Haram Football... NEGAN
Usipocheza Haram Football hapa hutoboi😃😃maana hata magoli yenyewe nimefunga ya papatu papatu
View attachment 3324423
Baadae nikaja kwenye mtani wangu wa siku zote wewe hapo
Kijana wa Gasperini mwenyewe
Nilisema mchezo wangu na wako smart assist ndo inanifanya kila siku nastruggle leo nikawasha and nilikuwa nangojea moment hii😃😃😃
Hii match imekuuma mno😃😃😃ila ndo hvyo kaka pole
View attachment 3324428
Nyingine hizi hapa
View attachment 3324429View attachment 3324430View attachment 3324431
View attachment 3324427
Ila ukwel game zako leo tumesumbuana hata kama nimeshinda nimehangaika sana na Drogba wako
Eniwei sijalipa kisasi bado unaongoza ulishanipiga sita hicho siwezi kulipa🙌🔥
Nilud sasa kucheza kawaida niachane na smart assist
Game ya mwisho ulipoa kabisa nikaona hata mchezo wako unawaza tu game iishe... Nikasema leo atakimbia huyu... Nalud nakuta Umeshabonyeza ready isingekuwa chaji leo tungecheza mpk saa moja umekataa kabisa kama nimekuzidi leo,😃😃😃Umejua kuninyoosha leo 😂.
Ulijua button eeh😃😃😃😃Poa, huyu master nishajua batton anazotumia sana ngoja nitafute namna ya kumfunga.
Hili la kutoka bila shoot nimekulipia🤣🤣👏😅😅itabidi twende marudiano
Nilisema 4312 kuna kitu inaninyimaWe acha tu mkuu 😂, anaziba njia mkuu sijui kajifunzia wapi, anapiga mashuti balaa 😂.
Ataleta tu matokeo hapa huyu mpinzani wangu furaha yake ni kunifunga na leo kafanikiwa, sijui analala anacheza game huyu 😂.
Amenionea sana huyu jamaa😃😃😃leo nikasema hatokiDuh umembutua 😃
Bado sijamaster vizuri ila itakaa tuu😃😃Kajifunza match up 😃
Leo amenishinda tabia mkuu 😂.Huyu asinunue account maana akinunua tutamkimbia humu 😃
Kuna muda nilikuwa nikitoa boko tu basi sikabi tena nahisi ulikuwa hujaotea maana ingekuwa faida sana kwako 😂.Game ya mwisho ulipoa kabisa nikaona hata mchezo wako unawaza tu game iishe... Nikasema leo atakimbia huyu... Nalud nakuta Umeshabonyeza ready isingekuwa chaji leo tungecheza mpk saa moja umekataa kabisa kama nimekuzidi leo,😃😃😃