eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kuna siku Razorblade kanipiga sita sijui 😃😃nashangaaa tu akienda golini kwangu goli ..


Afu nakuja humu nashangaa wewe unamfunga anaapa kulipa kisasi🤣🤣🤣sasa najiuliza mechi zangu na wewe huwa unanilegezea kwa sababu ya ugen au la🤣🤣
Hamna kuna namna unacheza na mimi ninavyokaba vinakinzana tactic yangu haitanyi kazi kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom